Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 527
Tatizo ni hivi vijitu vya CCMUzi tayari.
Ndio maana nimekuwa mvivu sana kuingia jf.
Jukwaa la siasa nowdays ni kama jukwaa la MMU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni hivi vijitu vya CCMUzi tayari.
Ndio maana nimekuwa mvivu sana kuingia jf.
Jukwaa la siasa nowdays ni kama jukwaa la MMU
Takukuru hawa walimwacha lugola mtaani anatamba tu? Takukuru wanatumika kisiasa, ukubali au usikubali.Rushwa waweza kuwa walihongwa.Mbowe kabeba bilioni nane atashindwa kumhonga CAG atoe ripoti nzuri? Tusubiri ripoti ya Takukuru tutazijua mbivu na mbichi
Mkuu unachosema kinawezekana, kumpa majukumu JWTZ ambayo ni majukunu inje ya ubobezi wake inaweza kua tatizo kwan anapokea amri roka serikali kuu ila hii haisemi moja kwa moja kwamba anatumika na SERIKALI KUU AMA CCM kwa manufaa yao ila TAKUKURU KIKATIBA WANA RUKSA YA KUFANYA UCHUNGUZI NDANI YA NCHI YETU HAIJALISHI NI SEKTA BINAFSI, MTU, TAASISI AU KOKOTE WANAPITA IWAPO KUNA MWANYA WA RUSHWA NA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA. Pia tukumbuke fedha ya CHADEMA SI YA MTU MMOJA BALI YA TAASISI Hivyo bado ni halali kuchunguza kama ni kosa basi KATIBA NDO INABEBA HAYO MAKOSA NA SI TAKUKURU WALA MKURUGENZI WAKE.Huyu mkuu wa takukuru pamoja na kuwa ametoka kwenye taasisi inayo heshimika kama JWTZ lakini amekubali kutumika kunyanyasa wananchi wasio na hatia kwa manufaa ya CCM.
Hii ndio hatari kubwa ya kutumia wanajeshi sehemu ambazo sio zao
Wakisha zoea kupindisha mambo ipo siku watapindisha sehemu siyo lwa manufaa yao wenyewe.
Wait and see.
Tatizo huo uchunguzi umeagizwa Na Jpm ili kukwamisha chadema sio takukuru wenyewe, tangu lini ubadhilifu inakuwa tuhuma ya rushwa? Wajanja washajua mpango mzima tangu mwanzo.sielewi nini hofu ya baadhi ya watu wa chadema kwa takukuru kufanya uchunguzi wamesahau uongo ukiachwa mwisho utakuwa ukweli. Lijuakali na Mwita wametoa tuhuma tumesikia Ester Bulaya na Benson wametoa majibu hatujui nani mkweli ni vema takukuru wakafanya uchunguzi tujue ukweli ni upi
Hyo ya kumchunguza ndugai sahau ndugu.Takukuru hawapo huru mpaka waambiwe Na Mkuu Wa nchi.Ni jambo jema sana.
Wakiisha maliza ya CHADEMA, pia twende kwenye gharama za matibabu ya Spika Ndugai huko India.
Mbowe arudishe zile bilioni nane na shilingi milioni 400 alizochukua .Acheni.kutapatapa humu
Naona jeshi liningia uraiani ndio mwanzo wa raia nao kuja kuingia jeshini.... raia wataanza na ile meli yetu mbovu
Kwangu kwa hatua hii ya takukuru Ni siasa sio utendaji, tangu lini matumizi mabaya ya pesa ya serikali ikawa Ni rushwa? Lin takukuru wamehoji ununuzi Wa wabunge Wa upinzani unaoendelea? Hapo anatafutwa mbowe Na kuichanganya chadema isijiandae vizuri Na uchaguzi.Lengo NCCR ipete.
Mkuu unachosema kinawezekana, kumpa majukumu JWTZ ambayo ni majukunu inje ya ubobezi wake inaweza kua tatizo kwan anapokea amri roka serikali kuu ila hii haisemi moja kwa moja kwamba anatumika na SERIKALI KUU AMA CCM kwa manufaa yao ila TAKUKURU KIKATIBA WANA RUKSA YA KUFANYA UCHUNGUZI NDANI YA NCHI YETU HAIJALISHI NI SEKTA BINAFSI, MTU, TAASISI AU KOKOTE WANAPITA IWAPO KUNA MWANYA WA RUSHWA NA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA. Pia tukumbuke fedha ya CHADEMA SI YA MTU MMOJA BALI YA TAASISI Hivyo bado ni halali kuchunguza kama ni kosa basi KATIBA NDO INABEBA HAYO MAKOSA NA SI TAKUKURU WALA MKURUGENZI WAKE.
Tatizo huo uchunguzi umeagizwa Na Jpm ili kukwamisha chadema sio takukuru wenyewe, tangu lini ubadhilifu inakuwa tuhuma ya rushwa? Wajanja washajua mpango mzima tangu mwanzo.
Huo ndo ukweli mchungu, chadema Ni moto kwa. Ccm.Kilichovuruga Ni mbowe kugombea uwenyekiti Wa chademaWasaidizi wa Meko amefanya vikao na maazimio ya siri na viongozi wote waliohama Chadema akiwemo Mashinji ma Waitara na wameazimia yafuatayo;
Wanasheria wa TISS wametoa maelekezo kwa Msajili wa vyama kutafuta mwanya wa kuifuta CHADEMA mara baada ya kumaliza
mahojiano yao na kutoa tamko kuwa kuna matumizi mabaya ya fedha nakatiba kuruhusu kukatwa mishahara yao ni ukiukwaji wa uhuru wao na wanalazimishwa
Kikao cha mwisho last week kati ya Meko na wasaidizi wake akiwemo yule aliyekufa kimeazimia hivyo
CHADEMA kaeni mguu upande!!
Jamaa walibana mzigo hakuuwasilisha kwa mbowe inaonekana.Siamini kama mchaga mbowe angekataa 5 bnAlizo pewa na meko kupitia kwa kipilimba ili asigombee uenyekiti? Si ndiyo?
Chadema imejengwa kwa falsafa ya nguvu ya umma ndo inayoitesa ccm.lengo wapate upinzani unaoingia makubaliano Na ccm, ndo maana NCCR wamepewa mpaka magari wazunguke nchi kuwashawishi wafuasi Wa chadema wahamie NCCR.Hii habari kama ni kweli basi ni sawa na kulima bustani ya mchicha kwa kutumia bludoza/katapila.
Kwa hali ilioko kwa sasa ndani ya CHADEMA kupambana nayo hakuhitaji nguvu kubwa ya kiasi hicho.Yaani vyombo vyote vya dola vinashiriki kwenye mapambano
Kabisa...Chadema imejengwa kwa falsafa ya nguvu ya umma ndo inayoitesa ccm.lengo wapate upinzani unaoingia makubaliano Na ccm, ndo maana NCCR wamepewa mpaka magari wazunguke nchi kuwashawishi wafuasi Wa chadema wahamie NCCR.
Jamaa walibana mzigo hakuuwasilisha kwa mbowe inaonekana.Siamini kama mchaga mbowe angekataa 5 bn
That is fallacy! Kwani kinachojadiliwa hapa ni nini? Tunasema ni haki ya TAKUKURU kuwahoji. Lakini nyie munaona haifai, anaonewa. Sasa tena unasema CC ya CHADEMA ilishatoa majibu. Majibu kwa nani? CC inawezaje kuaminika wakati ndo inasimamiwa na watuhumiwa? Hiyo ni self-vindication, 'vindiciae sui.' Is that not stupid and poor thinking?Hivi wewe ulitaka ajitetee kwa kila mtu na hata wapayukaji kama nyie 'akina tunasikia'?
Hiyo ndio sio busara. Kwenye vyombo vya sheria, atajibu pale tu ambapo kuna swala la kujibu.
Kwa wananchi, CC ya CHADEMA ilishatoa rasmi majibu yake(tafuta tamko humuhumu JF) kwa maandishi ili yasije kupotoshwa