TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

Kwangu kwa hatua hii ya takukuru Ni siasa sio utendaji, tangu lini matumizi mabaya ya pesa ya serikali ikawa Ni rushwa? Lin takukuru wamehoji ununuzi Wa wabunge Wa upinzani unaoendelea? Hapo anatafutwa mbowe Na kuichanganya chadema isijiandae vizuri Na uchaguzi.Lengo NCCR ipete.
 
Rushwa waweza kuwa walihongwa.Mbowe kabeba bilioni nane atashindwa kumhonga CAG atoe ripoti nzuri? Tusubiri ripoti ya Takukuru tutazijua mbivu na mbichi
Takukuru hawa walimwacha lugola mtaani anatamba tu? Takukuru wanatumika kisiasa, ukubali au usikubali.
 
Mbona mnatunga uongo hivi na hadithi? Uongo ni kawaida yenu hiko chama. Mbn hakuwepo ndo karudi juzi rais wetu mnamtafutia nini! Tunataka mthibitishe tuhuma zenu.
Nyumbu mtapotoshwa sana safari hii. Kuna watu wanatapatapa wakidhani itasaidia. Mwisho ukifika hata ufanyeje haisaidii
 
Mkuu unachosema kinawezekana, kumpa majukumu JWTZ ambayo ni majukunu inje ya ubobezi wake inaweza kua tatizo kwan anapokea amri roka serikali kuu ila hii haisemi moja kwa moja kwamba anatumika na SERIKALI KUU AMA CCM kwa manufaa yao ila TAKUKURU KIKATIBA WANA RUKSA YA KUFANYA UCHUNGUZI NDANI YA NCHI YETU HAIJALISHI NI SEKTA BINAFSI, MTU, TAASISI AU KOKOTE WANAPITA IWAPO KUNA MWANYA WA RUSHWA NA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA. Pia tukumbuke fedha ya CHADEMA SI YA MTU MMOJA BALI YA TAASISI Hivyo bado ni halali kuchunguza kama ni kosa basi KATIBA NDO INABEBA HAYO MAKOSA NA SI TAKUKURU WALA MKURUGENZI WAKE.
 
Tatizo huo uchunguzi umeagizwa Na Jpm ili kukwamisha chadema sio takukuru wenyewe, tangu lini ubadhilifu inakuwa tuhuma ya rushwa? Wajanja washajua mpango mzima tangu mwanzo.
 
Hatuja wahi kuwa na takukuru ya hovyo kama ilivyo sasa.
 
Ninavyo jua mwana jwtz anasimamia kweli, hatumhishwi.. yupo tayari kuanchia nafasi ili kusimamia raia.

Jeshi la Wananchi wa Tanzania na sio Jeshi La Chama Tawala.
 
Sijawahi kuona takukuru ya hovyo kama hii ia sasa.
Tatizo huo uchunguzi umeagizwa Na Jpm ili kukwamisha chadema sio takukuru wenyewe, tangu lini ubadhilifu inakuwa tuhuma ya rushwa? Wajanja washajua mpango mzima tangu mwanzo.
 
Huo ndo ukweli mchungu, chadema Ni moto kwa. Ccm.Kilichovuruga Ni mbowe kugombea uwenyekiti Wa chadema
 
Hii habari kama ni kweli basi ni sawa na kulima bustani ya mchicha kwa kutumia bludoza/katapila.
Kwa hali ilioko kwa sasa ndani ya CHADEMA kupambana nayo hakuhitaji nguvu kubwa ya kiasi hicho.Yaani vyombo vyote vya dola vinashiriki kwenye mapambano
Chadema imejengwa kwa falsafa ya nguvu ya umma ndo inayoitesa ccm.lengo wapate upinzani unaoingia makubaliano Na ccm, ndo maana NCCR wamepewa mpaka magari wazunguke nchi kuwashawishi wafuasi Wa chadema wahamie NCCR.
 
Chadema imejengwa kwa falsafa ya nguvu ya umma ndo inayoitesa ccm.lengo wapate upinzani unaoingia makubaliano Na ccm, ndo maana NCCR wamepewa mpaka magari wazunguke nchi kuwashawishi wafuasi Wa chadema wahamie NCCR.
Kabisa...
 
That is fallacy! Kwani kinachojadiliwa hapa ni nini? Tunasema ni haki ya TAKUKURU kuwahoji. Lakini nyie munaona haifai, anaonewa. Sasa tena unasema CC ya CHADEMA ilishatoa majibu. Majibu kwa nani? CC inawezaje kuaminika wakati ndo inasimamiwa na watuhumiwa? Hiyo ni self-vindication, 'vindiciae sui.' Is that not stupid and poor thinking?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…