Mkuu,TAKUKURU hii hii ya wale wachungizi wetu akina ....wanaopenda "mashati ya mikono mirefu"!?Unaweza kufanikiwa kumdanganya CAG kupitia makaratasi lakini ukikutana na upepo wa Takukuru mambo yakabadilika kabisa.
Inasemekana kiuongozi Chadema imejigawa katika kanda 10 ambapo 8 ziko Bara na 2 Zanzibar.
Kanda zote hupokea fedha za ruzuku kutoka makao makuu ili kuendesha ofisi ikiwemo kulipa pango, utilities na mishahara.
Kwa sasa Takukuru iko huko kwenye kanda mbalimbali tusubiri matokeo.
Naomba niishie hapo nisije kuangilia uchunguzi.
Maendeleo hayana vyama!