TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

Ingekuwa vyema uchunguzi ungefanyika baada ya Uchaguzi Mkuu - wakati huu unaweza kuleta hisia tofauti.
Tayari lengo ni kusaka kisingizio cha kuahirisha uchaguzi kwani endapo chadema watasusia uchaguzi itabidi kuahirisha
 
Chadema ikishachunguzwa na kupewa clean certificate then inapanda chati.
 
Nyinyi ni wachafu mjichunguze kwanza nyinyi kabla hamjaenda kuwachunguza wengine

Tulikuwa na million 5 mwaka 2015 Leo tuna bill 20+ unataka wachenguze nini wakati kibubu kimejaa

Mchunguzwe nyie mnatafunahadi wake za watu
 
aiwezekana mbowe achukue bilioni 8.9 michango ya wabunge wa chadema alafu taifa likae kimya
 
Kwani si ni uchunguzi tu? kuna kitu hutaki tukijue baada ya kubainishwa na uchunguzi? kufanya kazi yao wanapopata malalamiko ni kutumika?
Katika nchi ya wabambika kesi, ambapo tumeshuhudia Sugu asiye na kosa "akitumikia" kifungo, na mchakato wa rufaa yake kucheleweshwa kiasi kwamba hata alipokuja tangazwa "hana hatia" tayari ishakuwa JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DENIED".
Mchezo huo umerudiwa kwenye kesi dhidi ya viongozi wa CHADEMA , ambapo wahalifu wa ukweli, CCM, NEC na Jeshi la Polisi, wameachwa. Wahanga, AKWILINA na CHADEMA, wamekosa haki. Na CHADEMA wakahukumiwa vifungo na faini hevi, baada ya kutumia miezi kibao wakihangaika na hiyo kesi feki, huku Ndugai akidai kwamba Mbowe ni mtoro bungeni.

CCM "wamefanikiwa" kudesign njia za kuwasumbua viongozi wa CHADEMA, kuwaondoa mchezoni kwa mfululizo wa kesi feki, kucheza na sheria ili waadhibiwe bila kihukumiwa, kwa kuhakikisha hawapati dhamana, nk.

Ni TAKUKURU hii hii iliyoletewa ushahidi kuhusu vitendo vya rushwa alivyofanya Alexander Mnyeti, enzi hizo akiwa DC, dhidi ya madiwani na wabunge wa CHADEMA , ili "waunge mkono juhudi". Takukuru "wakiukataa" ushahidi huo kwa kisingizio kuwa ilishavujishwa mitandaoni!
Lakini wenye akili tulijua TAKUKURU hawana ubavu kumpeleleza kipenzi wa Magufuli.

Chombo sahihi cha kufanya uchunguzi dhidi ya tuhuma hizi ni ofisi ya CAG. TAKUKURU ni rahisi kutumika ili kuwasumbua viongozi wa CHADEMA , kipindi hiki cha uchaguzi, ili kuwatoa mchezoni. Wanaweza kuwafungulia kesi feki kama zile zingine. CAG akishachunguza ripoti yake hatimaye hutua bungeni ambapo kila kitu kitaanikwa wazi. Huu ni mchakato ambao hautakuwa na manufaa sana kwa CCM.

Ndio maana "maagizo kutoka juu" yameelekezwa kwa TAKUKURU.
 
Kange bado anachunguzwa?
Ndo Yale yalee!

Kaa kwenye hoja mkuu, la kama unaona uchungu tafuta kamba jitundike, Mzee atazaa watoto wengine,

Kila taasisi, kila mahali ambapo hapaeleweki kuhusu matumizi ya Fedha za walala Hoi patachunguzwa,

Zamu iliyopo sasa ni Chama kinachopianiwa na wanachama wake kuwa ni Safi!!! Ndiyo kipo kwenye zamu ya uchunguzi wa Takukuru na huwezi kuwapangia

Shida iko wapi mkuu
 
aiwezekana mbowe achukue bilioni 8.9 michango ya wabunge wa chadema alafu taifa likae kimya
Ndungai alikula bilion 12 , na bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi Mbona Taifa limekaa kimya? Kipo wapi kivuko cha Dsm Bagamoyo?
 
Hukuna tatizo kukaguliwa,Watu wanachohofia ni hii Tabia yenu mpya mliyoanzisha hivi karibuni.Yaani mnakamata mtu kwa kesi ya kumpiga Mke wake,mkifika Mbele mnamfungulia kesi ya uhujumu uchumi.
 
Punguza maneno ya kichimvi, Moto ukichomwa shambani hata uwe wa kufukuza panya lazima majani yaungue. Takukuru watayoyoma na mtu.
 
Siyo kweli Mbona bilion 12 za Ndungai ni za mda mrefu hazijachunguzwa?
 
Zamu ikifika Tutaingia huko, Kwa sasa ni Chadema, na Chadema inasemekana ni tangu enzi za kina Wangwe, kelele hizo zipo
Siyo kweli Mbona bilion 12 za Ndungai ni za mda mrefu hazijachunguzwa?
 
Reactions: mmh
Double standard,mpe mruke,mpe.
 
Wanajeshi hawapendi kupindisha mambo mmezoea kupindisha sana mlisema mko safi leo maji ya shingo

Kama nyie ni wasafi mnaogopa nini na hati zenu safi
 
Hukuna tatizo kukaguliwa,Watu wanachohofia ni hii Tabia yenu mpya mliyoanzisha hivi karibuni.Yaani mnakamata mtu kwa kesi ya kumpiga Mke wake,mkifika Mbele mnamfungulia kesi ya uhujumu uchumi.
Nje ya hoja mkuu
 
Takukuru wachunguze Ndungai akiwa Hosptal India kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…