Makonda hana akili kabisa kama anavyoitwa Zero Brain na Mange Kimambi. Yaliyompata OleSabaya yatampata na Makonda kwa njia tofauti. Huwezi kuua akna Ben Saanane, Azory Gwanda na kumshambulia akina Tundu Lissu, kuwateka akina Mo Dewji na Roma Mkatoliki then ubaki salama. Asione Serikali imekaa kimya kwa kuwa DPP na TAKUKURU hawajachukua hatua, lakini kwa mbali namuona anajiingiza mwenyewe kwenye mtego.
Maombii ya Kubenea kutaka kumshtaki Makonda kwa njia ya private prosecution siyo kitu cha mzaha. Yeye bado hajaelewa, lakini kibali kikitoka hamna namna Makonda ataikwepa ile jinai ya kuingia studio za Clouds kwa bunduki.
Hii nayo ya TAKUKURU wakiamua kufanya kazi bila kupepesa macho, ni kwamba Makonda hawezi kutetea mali alizo nazo dhidi ya vyanzo vyake vya kipato.
anyway, "Mkundu ukifa mavi hutawanyika"