TAKUKURU yaingilia kati sakata la Makonda na GSM. GSM aliripoti hati ya kiwanja kupotea

Dar ina vituko aisee, yaani kuna watu kibao wanaishi kimagumashi kama Makonda na kuaminisha watu kuwa eneo husika ni lake wakati hana documents zozote zile. Lazima serikali iingile ndani na kufunga watu wa namna hii, ni matapeli sana.
 
Makonda kapata wapi huo utajiri wote ndani ya muda mfupi?
Makonda alishawahi kuambiwa na Marehemu raisi kuwa arudishe fedha alizoiba za Tassaf tena mbele ya hadhara.

Huyo jamaa ni Mwizi.
 
Duh! Watu wanatunza kumbukumbu kweri kweri ! Salaaleeeh!!
 
Watu wa yanga na ''waislamu jina''madhulmati sana.
Wanamwonea tu kijana huyu
 
Inawezekana GSM alilazimishwa kukiachia hicho kiwanja katika style ya Sabaya. Inawezekana wakati ule hakuwa na ujanja. Ikambidi akiachie.
Makonda anasema kiwanja hicho aliuziwa na GSM mwaka 2013. Hapo ndipo alipojichanganya. Mwaka 2013 Makonda alikuwa wapi? Alipata wapi zaidi ya milioni 100 za kununua hicho kiwanja?

Utata mwingine ni huu, nani alijenga jengo lililopo kwenye hicho kiwanja? Mkandarasi aliyejenga hapo alipewa kazi na nani? Ilikuwa mwaja gani? Kodi ya hayo malipo ililipwa TRA? Ililipwa na nani?

Kuna uwezekano hii kesi inakwenda kufukua mengi yaliyojificha.
Hapa inaonekana Kuna makubaliano halali yalifanyika kati ya GSM na Makonda kuhusu ununuzi wa kiwanja.Na yalifanyika wakati Makonda Ni mkuu wa mkoa.Sasa GSM amegeuka hayo makubaliano.Anaanza uongo.GSM anashirikiana na Ridhiwani Kikwete kudanganya umma.GSM inaonekana hana elimu .
 
pia kuna backdating ya ule mkataba. vilevile, GSM kama anavyo vielelezo kwamba yeye ndio aliomba kibali cha ujenzi, anao contractors aliowalipa hadi risiti za ujenzi wa nyumba hiyo, wakati huohuo makonda hana ushahidi kama alijenga pale, hana contractor yeye anang'ang'ania tu kusema kiwanja ni cha kwake. pccb wamkamate aeleze ilikuwaje mtumishi wa umma akajengewa nyumba na mfanyabiashara? aoneshe kila kielelezo kama mwenzake alivyofanya.
 
mimi napenda makonda naye afunzwe adabu kama sabaya, kwasababu bado anayo matunda mengi sana ya uovu anayatafuta.
 
Makonda hana akili kabisa kama anavyoitwa Zero Brain na Mange Kimambi. Yaliyompata OleSabaya yatampata na Makonda kwa njia tofauti. Huwezi kuua akna Ben Saanane, Azory Gwanda na kumshambulia akina Tundu Lissu, kuwateka akina Mo Dewji na Roma Mkatoliki then ubaki salama. Asione Serikali imekaa kimya kwa kuwa DPP na TAKUKURU hawajachukua hatua, lakini kwa mbali namuona anajiingiza mwenyewe kwenye mtego.

Maombii ya Kubenea kutaka kumshtaki Makonda kwa njia ya private prosecution siyo kitu cha mzaha. Yeye bado hajaelewa, lakini kibali kikitoka hamna namna Makonda ataikwepa ile jinai ya kuingia studio za Clouds kwa bunduki.

Hii nayo ya TAKUKURU wakiamua kufanya kazi bila kupepesa macho, ni kwamba Makonda hawezi kutetea mali alizo nazo dhidi ya vyanzo vyake vya kipato.

anyway, "Mkundu ukifa mavi hutawanyika"
 
"Mkundu ukifa mavi hutawanyika"
thinkstupid.png
 
Inawezekana GSM alilazimishwa kukiachia hicho kiwanja katika style ya Sabaya. Inawezekana wakati ule hakuwa na ujanja. Ikambidi akiachie.
Makonda anasema kiwanja hicho aliuziwa na GSM mwaka 2013. Hapo ndipo alipojichanganya. Mwaka 2013 Makonda alikuwa wapi? Alipata wapi zaidi ya milioni 100 za kununua hicho kiwanja?

Utata mwingine ni huu, nani alijenga jengo lililopo kwenye hicho kiwanja? Mkandarasi aliyejenga hapo alipewa kazi na nani? Ilikuwa mwaja gani? Kodi ya hayo malipo ililipwa TRA? Ililipwa na nani?

Kuna uwezekano hii kesi inakwenda kufukua mengi yaliyojificha.
daudi kaja mjini maskini tu, analala lala kwenye mageto ya washikaji tu ...mara ajitie mlokole wa mchongo apatae apate kukamata wazee kanisani, akaendelea na uchawa wake ccm kwa kina samuel sita, hawakumtambua vizuri ndani yake ni shetani mkubwa mwizi,muuwaji, mtekaji, muuza unga, dhurumati sio mtu mwema amejaliwa unafiki wa hali ya juu sana...shetani mbwa kabisa. amejilimbikizia mali nyingi zisizo halali kwa kipindi kifupi sana akiwa madarakani....aidha kwa kupewa zawadi/kupola kwa mgongo wa madaraka...achunguzwe sana hatari huyu kuluko sabaya...sabaya alitumia makonda style
 
Inawezekana GSM alilazimishwa kukiachia hicho kiwanja katika style ya Sabaya. Inawezekana wakati ule hakuwa na ujanja. Ikambidi akiachie.
Makonda anasema kiwanja hicho aliuziwa na GSM mwaka 2013. Hapo ndipo alipojichanganya. Mwaka 2013 Makonda alikuwa wapi? Alipata wapi zaidi ya milioni 100 za kununua hicho kiwanja?

Utata mwingine ni huu, nani alijenga jengo lililopo kwenye hicho kiwanja? Mkandarasi aliyejenga hapo alipewa kazi na nani? Ilikuwa mwaja gani? Kodi ya hayo malipo ililipwa TRA? Ililipwa na nani?

Kuna uwezekano hii kesi inakwenda kufukua mengi yaliyojificha.
Na kitendo cha kudhalilisha wazee ni mbaya sana !! " Karma" !!
 
Wenye kiwanja wanadai kiwanja chao. Makonda anajaribu kudai au kujaribu kujustify hakula hela za watu.
 
Back
Top Bottom