Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Duh! Watu wanatunza kumbukumbu kweri kweri ! Salaaleeeh!!Makonda kapata wapi huo utajiri wote ndani ya muda mfupi?
Makonda alishawahi kuambiwa na Marehemu raisi kuwa arudishe fedha alizoiba za Tassaf tena mbele ya hadhara.
Huyo jamaa ni Mwizi.
Kwakweli ndugu yangu hii dunia hii mtihani Sana.Mkuu, kuna watu wamepinda kwelikweli
Tapeli huyoWatu wa yanga na ''waislamu jina''madhulmati sana.
Wanamwonea tu kijana huyu
Hapa inaonekana Kuna makubaliano halali yalifanyika kati ya GSM na Makonda kuhusu ununuzi wa kiwanja.Na yalifanyika wakati Makonda Ni mkuu wa mkoa.Sasa GSM amegeuka hayo makubaliano.Anaanza uongo.GSM anashirikiana na Ridhiwani Kikwete kudanganya umma.GSM inaonekana hana elimu .
Nyie watu wa Simba na wakristo Safi Muombeeni mwenzenu Mungu amvushe na mtihani si mnaona anaonewa bwana!Watu wa yanga na ''waislamu jina''madhulmati sana.
Wanamwonea tu kijana huyu
pia kuna backdating ya ule mkataba. vilevile, GSM kama anavyo vielelezo kwamba yeye ndio aliomba kibali cha ujenzi, anao contractors aliowalipa hadi risiti za ujenzi wa nyumba hiyo, wakati huohuo makonda hana ushahidi kama alijenga pale, hana contractor yeye anang'ang'ania tu kusema kiwanja ni cha kwake. pccb wamkamate aeleze ilikuwaje mtumishi wa umma akajengewa nyumba na mfanyabiashara? aoneshe kila kielelezo kama mwenzake alivyofanya.Hapa inaonekana Kuna makubaliano halali yalifanyika kati ya GSM na Makonda kuhusu ununuzi wa kiwanja.Na yalifanyika wakati Makonda Ni mkuu wa mkoa.Sasa GSM amegeuka hayo makubaliano.Anaanza uongo.GSM anashirikiana na Ridhiwani Kikwete kudanganya umma.GSM inaonekana hana elimu .
"Mkundu ukifa mavi hutawanyika"
daudi kaja mjini maskini tu, analala lala kwenye mageto ya washikaji tu ...mara ajitie mlokole wa mchongo apatae apate kukamata wazee kanisani, akaendelea na uchawa wake ccm kwa kina samuel sita, hawakumtambua vizuri ndani yake ni shetani mkubwa mwizi,muuwaji, mtekaji, muuza unga, dhurumati sio mtu mwema amejaliwa unafiki wa hali ya juu sana...shetani mbwa kabisa. amejilimbikizia mali nyingi zisizo halali kwa kipindi kifupi sana akiwa madarakani....aidha kwa kupewa zawadi/kupola kwa mgongo wa madaraka...achunguzwe sana hatari huyu kuluko sabaya...sabaya alitumia makonda styleInawezekana GSM alilazimishwa kukiachia hicho kiwanja katika style ya Sabaya. Inawezekana wakati ule hakuwa na ujanja. Ikambidi akiachie.
Makonda anasema kiwanja hicho aliuziwa na GSM mwaka 2013. Hapo ndipo alipojichanganya. Mwaka 2013 Makonda alikuwa wapi? Alipata wapi zaidi ya milioni 100 za kununua hicho kiwanja?
Utata mwingine ni huu, nani alijenga jengo lililopo kwenye hicho kiwanja? Mkandarasi aliyejenga hapo alipewa kazi na nani? Ilikuwa mwaja gani? Kodi ya hayo malipo ililipwa TRA? Ililipwa na nani?
Kuna uwezekano hii kesi inakwenda kufukua mengi yaliyojificha.
Swadakta!!shetani mbwa kabisa.
Na kitendo cha kudhalilisha wazee ni mbaya sana !! " Karma" !!Inawezekana GSM alilazimishwa kukiachia hicho kiwanja katika style ya Sabaya. Inawezekana wakati ule hakuwa na ujanja. Ikambidi akiachie.
Makonda anasema kiwanja hicho aliuziwa na GSM mwaka 2013. Hapo ndipo alipojichanganya. Mwaka 2013 Makonda alikuwa wapi? Alipata wapi zaidi ya milioni 100 za kununua hicho kiwanja?
Utata mwingine ni huu, nani alijenga jengo lililopo kwenye hicho kiwanja? Mkandarasi aliyejenga hapo alipewa kazi na nani? Ilikuwa mwaja gani? Kodi ya hayo malipo ililipwa TRA? Ililipwa na nani?
Kuna uwezekano hii kesi inakwenda kufukua mengi yaliyojificha.
Si alikua mkuu wa wilaya ya kinondoniMwaka 2013 Makonda alikua hohehai hana hela ya kununua kiwanja mikocheni kwa 120M
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Cheo Cha Mkuu wa wilaya kwa mshahara wa mil.4.1Si alikua mkuu wa wilaya ya kinondoni