Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
CCM internal cleansing....kama ile ya Jugoslavija ya early 1990s....ili wabaki RA and tribe.....sijui hawa wapiganaji hawaoni...tokeni humo mje CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so habari ndiyo hiyo
Mheshimiwa ni kweli uyasemayo?hizi ni njama za ROSTAM NA HOSEA za kumpunguza nguvu SPIKA tu kwasababu aliwashugulikia bungeni mbona wabunge,wadiwani wengi tu wanakamatwa lakini haitangazwi???yaani MAGRET ndo wa kwanza kutoa rushwa????SPIKA hili lisikuvunje moyo tena ukirudi mjengoni washugulikie ipasavyo
Ulitaka waogopwe na waachwe waendelee kutoa mlungula? Kama wao ni wasafi wana wasiwasi gani? watulie makwao, wasipitepite usiku wa manane kwenye nyumba za kulala wageni. Hizo simu na bahasha si angeziacha nyumbani, au anataka kufungua biashara ya stationeryeti kukutwa na nokia 7 (1616)= angalia picha chini, milioni moja na bahasha za kaki 100....Takukuru hao hewani!! Wakati wa Richmond hatukuwasikia!!!... USHAURI "Spika Sitta, Magret Sitta, Mwakyembe na wengineo tokeni CCM......................
![]()
Ni kosa kuwa katika nyumba ya kulala wageni?
Ni kosa kuwa na bahasha za kaki?
Ni kosa kuwa na simu mpya zaidi ya moja?
Ni kosa kutembea na shilingi milioni moja?
Hii yote sanaa tu..........!
Kukamatwa kwa waziri Sitta ni kwa kawaida kama mtu yeyote mtoa rushwa ambavyo angeweza kukamatwa, suala kwamba kwa nini yeye ndiyo atangazwe sana na vyombo vya habari jibu ni jepesi, huyu ni waziri aliye maarufu, si maarufu kwa kuwa wazir tu bali kwa kuchanganya na kuwa kwake mke wa Spika anayejinadi mpiganiaji haki kwa kuwakataa mafisadi, lakini pia huyu mama ni maarufu kwa yeye mwenyewe kumuunga mkono mumewe na kambi yao ya wanaojiita wapinga ufisadi. Sasa basi, kwa sababu ya ukweli huu wote, wale wote wafanya ufisadi walikuwa makini sana sana kuwatafuta na kuwapunguza spidi zao.
Michakato yote iendelee ya kuwanasa wote wenye tabia hii. Hatuhitaji mchungaji au mhubiri asemaye tufuate maneno yake na si matendo yake, sisi tunataka vyote maneno na hata matendo yao.
huyu mama alikuwa anataka kutoa rushwa, sema hao takukuru wamekukuruka ovyo,
mahakamani huyo mama hana kosa maana atashinda kiurahisi sana.
Needs thinking... Ujio wa Slaa utasababisha baadhi ya watu wafikishwe mbele ya sheria haraka iwezekanavyo ili akose la kuongea kwenye kampeni maana JK atakuwa walau kawaonyesha watanzania kuwa 'anaweza kuthubutu'!
Lakini, hii kamatakamata isiishie hapo, hatua zichukuliwe, na wakimaliza kamatakamata yao tutakuja na video evidences za wale ambao hawakuwagusa kabisa na tutawaonyesha kwa kifupi tu via JF, wakibisha tutaleta FULL video clips ili kuwaonyesha kuwa wanaokamatwa ni vidagaa bado kwani kuna mapapa haswa!