Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Mayor na wakurugenziInashangaza, kwa sababu hakuna meya wala mwenyekiti wa CCM anayepita bila rushwa. Nitawaelewa kama watachunguza mameya woote

Bado, tunataka maBig fish walau tuwape credit.View attachment 3555503
TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI
Ndugu Wanahabari,
Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea taarifa za uwepo wa vitendo vilivyoshukiwa kuwa ni vya rushwa vilivyofanywa na Mhe. Cornel Lucas Magembe Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini kwa kushirikiana na Mhe. Frank Leonard Francis aliyekuwa Diwani mteule Kata ya Mganza.
Uchunguzi ulithibitisha kuwa viongozi hawa waliwakusanya madiwani wateule 20 wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato katika Hoteli ya Lakezone iliyopo Jijini Mwanza na baadaye Serengeti Palace Hoteli iliyoko Mji Mdogo wa Katoro-Geita, kwa lengo la kuwashawishi kwa hongo ya fedha, chakula na malazi madiwani hao ili kupiga kura za upendeleo kwa mgombea waliyemtaka katika nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Chato.
Ndugu Wanahabari,
Katika taarifa nyingine ilidaiwa kwamba, Mhe. Pascal Lucas Lutandula Mbunge wa Jimbo la Chato Kusini kwa kushirikiana na Ndg. Bartholomeo Christian Manunga aliyekuwa Diwani mteule wa Kata ya Bwongera, na Mhe. Josephat Elias Manyenye aliyekuwa Diwani mteule Kata ya Bwera katika kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, walituhumiwa kujenga ushawishi wenye vitendo vya rushwa kwa Diwani mteule wa Kata ya Muungano Mhe. Njile Charles Mboligo kwa kumpa hongo ili kujiondoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ili kumpatia ushindi wa wazi Ndg. Bartholomeo Christian Manunga katika uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Chato.
Kufuatia matukio hayo Ofisi ilianzisha uchunguzi na kubaini uwepo wa vitendo vya rushwa katika mchakato wa uchaguzi huo wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kulazimika kuchukua hatua za kisheria dhidi ya waliobainika kwa mujibu wa Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa sura ya 329 Marejeo ya Mwaka 2023 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 11/2024 ambapo watuhumiwa tajwa wamefikishwa Mahakamani leo tarehe 09/03/2026. Kesi hizi zimesajiliwa kwa nambari CC Na. 5100/2026 pamoja na CC Na. 5099/2026 mtawalia.
'Kuzuia Rushwa ni Jukumu Lako na Langu; Tutimize Wajibu Wetu'
Imetolewa na:
Juge
James G. Ruge
MKUU WA TAKUKURU (M) GEITA.
SIMU: 0738 150078
Mwenyekiti wa halmashauri alivuliwa unachama na CCM. So TAKUKURU wameamua kupita na wote waliofanikisha kuchaguliwa kwake!Aliyevuliwa uanachama ni nani katika stori hii?
😆😂😬🤣😀🤩Comment Chachu Kama UkwajuaHaa🤔🤔
Kumbe TAKUKURU bado wapo..?
Kama ni hivi, Samia Suluhu Hassan na Mwigulu Nchemba wanaponaje..?
🤣😀🤩😬😂😆😁Nchi Ngumu SanaPoleni PCCB, haifiki mbali hiyo. Rushwa ni utamaduni wa CCM.
Nd'o nilistaajabu! Kuna Takokuru gani waliochangamka hao?Mwenyekiti wa halmashauri alivuliwa unachama na CCM. So TAKUKURU wameamua kupita na wote waliofanikisha kuchaguliwa kwake!
Hizi kesi huwa zinaishia hewani tu.Kesi ikipanda kizimbani na wakahukumiwa basi nitajua wako serious maana hakuna mwanasiasa amewahi fungwa hasa hao wa CCM wenye pesa.
Sasa hapo wapelekwa mahakama ipi? Na nyie mna story za kikuda.View attachment 3555503
TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI
Ndugu Wanahabari,
Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea taarifa za uwepo wa vitendo vilivyoshukiwa kuwa ni vya rushwa vilivyofanywa na Mhe. Cornel Lucas Magembe Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini kwa kushirikiana na Mhe. Frank Leonard Francis aliyekuwa Diwani mteule Kata ya Mganza.
Uchunguzi ulithibitisha kuwa viongozi hawa waliwakusanya madiwani wateule 20 wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato katika Hoteli ya Lakezone iliyopo Jijini Mwanza na baadaye Serengeti Palace Hoteli iliyoko Mji Mdogo wa Katoro-Geita, kwa lengo la kuwashawishi kwa hongo ya fedha, chakula na malazi madiwani hao ili kupiga kura za upendeleo kwa mgombea waliyemtaka katika nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Chato.
Ndugu Wanahabari,
Katika taarifa nyingine ilidaiwa kwamba, Mhe. Pascal Lucas Lutandula Mbunge wa Jimbo la Chato Kusini kwa kushirikiana na Ndg. Bartholomeo Christian Manunga aliyekuwa Diwani mteule wa Kata ya Bwongera, na Mhe. Josephat Elias Manyenye aliyekuwa Diwani mteule Kata ya Bwera katika kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, walituhumiwa kujenga ushawishi wenye vitendo vya rushwa kwa Diwani mteule wa Kata ya Muungano Mhe. Njile Charles Mboligo kwa kumpa hongo ili kujiondoa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ili kumpatia ushindi wa wazi Ndg. Bartholomeo Christian Manunga katika uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Chato.
Kufuatia matukio hayo Ofisi ilianzisha uchunguzi na kubaini uwepo wa vitendo vya rushwa katika mchakato wa uchaguzi huo wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kulazimika kuchukua hatua za kisheria dhidi ya waliobainika kwa mujibu wa Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa sura ya 329 Marejeo ya Mwaka 2023 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 11/2024 ambapo watuhumiwa tajwa wamefikishwa Mahakamani leo tarehe 09/03/2026. Kesi hizi zimesajiliwa kwa nambari CC Na. 5100/2026 pamoja na CC Na. 5099/2026 mtawalia.
'Kuzuia Rushwa ni Jukumu Lako na Langu; Tutimize Wajibu Wetu'
Imetolewa na:
Juge
James G. Ruge
MKUU WA TAKUKURU (M) GEITA.
SIMU: 0738 150078
Na aliyegaqView attachment 3555503