Takwimu: Baleke vs Musonda

Takwimu: Baleke vs Musonda

Njoo na source inayoonesha Baleke akiwa top scorer.. naahidi hapa sitaingia JF kwa mwezi mzima endapo utakuja na trusted source itakayoonesha hilo
Well..Katika Ligi ambazo hazipo well published/documented hasa kidigitali basi ni Ligi ya Congo. Unaweza taafuta taarifa muhimu kabisa lakini ukashindwa kuzipata online.

Kama ulijaribu either ku-google, basi utapata taarifa nyingi baada ya kutua Simba au alivyokwenda Lebanon ila kabla ya hapo utakua kwenye grey area.

Sasa ukitaka kupata taarifa za Congo ni bora uka-opt kutumia social media zaidi kuliko website/blogs.

Simple: Kama wewe ni Shabiki wa Yanga basi moja ya watu unao-waamini ni Digital Manager(Privadinho).
Ingia kwenye account yake(twitter), then search Baleke, utapata majibu(Japo nitapost screenshot pia).

N.B. Sitopenda ukose maarifa ya jamiiforums mwezi mzima, kisa tu hukuamini Jean Baleke alikua Top Scorer mbele ya Mayele. Sisi wewe tu, Ni wengi hawatambui hili. Kwahiyo personally navunja hicho kiapo na uendelee ku-enjoy madini na Vayolence za hapa jukwaani.
 
Attachments

  • 6629ADF9-8041-4E96-BA41-57040D7B76B5.png
    6629ADF9-8041-4E96-BA41-57040D7B76B5.png
    55.2 KB · Views: 11
Well..Katika Ligi ambazo hazipo well published/documented hasa kidigitali basi ni Ligi ya Congo. Unaweza taafuta taarifa muhimu kabisa lakini ukashindwa kuzipata online.

Kama ulijaribu either ku-google, basi utapata taarifa nyingi baada ya kutua Simba au alivyokwenda Lebanon ila kabla ya hapo utakua kwenye grey area.

Sasa ukitaka kupata taarifa za Congo ni bora uka-opt kutumia social media zaidi kuliko website/blogs.

Simple: Kama wewe ni Shabiki wa Yanga basi moja ya watu unao-waamini ni Digital Manager(Privadinho).
Ingia kwenye account yake(twitter), then search Baleke, utapata majibu(Japo nitapost screenshot pia).

N.B. Sitopenda ukose maarifa ya jamiiforums mwezi mzima, kisa tu hukuamini Jean Baleke alikua Top Scorer mbele ya Mayele. Sisi wewe tu, Ni wengi hawatambui hili. Kwahiyo personally navunja hicho kiapo na uendelee ku-enjoy madini na Vayolence za hapa jukwaani.
Mkuu safii..umemaliza
 
Sijawahi kuona top scorer anatolewa kwa mkopo
 
Yaani duniani nzima anayejua/ mwenye taarifa kuhusu utop scorer wa Baleke ni Privadinho peke yake? Kitu ambacho kwenye ulimwengu wa utandawazi hakiwezekani. Kapekue google ulete hapa Baleke akiwa top scorer sio ulete habari za Privadinho

La pili kwangu huyu sio trusted source labda kwako, kipindi cha usajili kadanganya sana kuhusu Luis Miquisone.
 
Yaani duniani nzima anayejua kuhusu magoli ya Baleke ni Privadinho peke yake? Kitu ambacho kwenye ulimwengu wa utandawazi hakiwezekani. Kapekue google ulete hapa Baleke akiwa top scorer sio ulete habari za Privadinho

Kwahiyo mnamlipa mshahara ili awe anawadanganya
 
Yaani duniani nzima anayejua kuhusu magoli ya Baleke ni Privadinho peke yake? Kitu ambacho kwenye ulimwengu wa utandawazi hakiwezekani. Kapekue google ulete hapa Baleke akiwa top scorer sio ulete habari za Privadinho

La pili kwangu huyu sio trusted source labda kwako, kipindi cha usajili kadanganya sana kuhusu Luis Miquisone.
Umeni-disappoint sana Mkuu. Mbona nimeeleza kila kitu katika ile reply?

Wait...Kusema huu ni ubishi wako tu au hujaelewa kile nilichoandika kuhusu ligi ya Congo?

Karudie kusoma ile reply yangu Mkuu.

N.B. Kwani Yanga ni mara ya kwanza kudanganywa? Bora hili la Konde Boy ni kweli Yanga walifanya some moves lakini ikashindikanaa. BM3 alitangazwa Siku ya Mwananchi wakati ni mchezaji halali wa Simba, Mliaminishwa Chama atarudi Yanga, Phiri atacheza Yanga, Last Weeks mliambiwa Feisal atakuwepo uwanjani na Mengine Mengi.
 
Mangungu endelea kuburuza hawa Mbumbumbu
Mimi siwezo kubishana na Mwana Yanga yeyote kuhusu uwezo wa akili katika Soka.

Katika Soka, Mimi Yanga huwa napenda kuwaweka Special Group Kabisa. Na huwa nawa-treat kwa care sana. Ikitokea nimeku-offend kwa namna yeyote. Nikumbushe nitakuomba msamaha kabisa Mkuu.
 
Back
Top Bottom