Takwimu: Baleke vs Musonda

Takwimu: Baleke vs Musonda

Kwani huu ni uzi wa takwimu za Musonda vs Baleke kwenye ligi kuu au kwa mashindano yote?
Kwa ligi zote na timu kuanzia ya premier...kwa sasa ana mlima wa kulipa ile hat trick ya Baleke.
 
Mimi siwezo kubishana na Mwana Yanga yeyote kuhusu uwezo wa akili katika Soka.

Katika Soka, Mimi Yanga huwa napenda kuwaweka Special Group Kabisa. Na huwa nawa-treat kwa care sana. Ikitokea nimeku-offend kwa namna yeyote. Nikumbushe nitakuomba msamaha kabisa Mkuu.
unajifanya smart kumbe empty set, umeombwa source unakuja na habari za kina Priva
 
Umeni-disappoint sana Mkuu. Mbona nimeeleza kila kitu katika ile reply?

Wait...Kusema huu ni ubishi wako tu au hujaelewa kile nilichoandika kuhusu ligi ya Congo?

Karudie kusoma ile reply yangu Mkuu.

N.B. Kwani Yanga ni mara ya kwanza kudanganywa? Bora hili la Konde Boy ni kweli Yanga walifanya some moves lakini ikashindikanaa. BM3 alitangazwa Siku ya Mwananchi wakati ni mchezaji halali wa Simba, Mliaminishwa Chama atarudi Yanga, Phiri atacheza Yanga, Last Weeks mliambiwa Feisal atakuwepo uwanjani na Mengine Mengi.
Kwahiyo nawewe ukaona uchukue source ya muongo ili kuthibitisha kitu gani humu?
Kama hakuna trusted source inayoonesha kuwa Baleke alikuwa top scorer basi hauna haki ya kulisemea hilo kwasababu halithibitishiki kwenye vyanzo vya kueleweka
 
Kwahiyo nawewe ukaona uchukue source ya muongo ili kuthibitisha kitu gani humu?
Kama hakuna trusted source inayoonesha kuwa Baleke alikuwa top scorer basi hauna haki ya kulisemea hilo kwasababu halithibitishiki kwenye vyanzo vya kueleweka
Unahangaika na mlevi
 
Kwa ligi zote na timu kuanzia ya premier...kwa sasa ana mlima wa kulipa ile hat trick ya Baleke.
Soma ulichokiandika halafu jisonye kwa ulichoandika. Top scorer wa Azam Federation cup huwa wanamuhesabia magoli tu aliyoyafunga kwa timu zilizopo ligi kuu?
 
Mkuu hivi inakuingia akilini top scorer wa ligi atolewe kwa mkopo?
Yes, kuna sababu nyingi za kumtoa mchezaji kwa mkopo mkuu.

So ukitoa zile sababu zilizo zoeleka kusema mchezaji ni surplus kwenye timu na hakuna timu inayotaka kumsajili au kumnunua or Mchezaji hapati nafasi katika timu ila bado mnaimani na uwezo wake(Young Players).

Basi kuna hii sababu inayofanywa na baadhi ya vilabu vikubwa Ulaya.

Badala ya kumnunua mchezaji hasa kutoka timu ndogo, huwa wana-opt kumchukua mchezaji kwa Mkopo kuona kama anaweza ku-contribute katika timu, lakini kukiwa na kipengele cha makubaliano kuwa kama ata-contribute basi atasajiliwa katika dirisha lijalo, kama atashindwa basi atarudi kwenye timu aliyotoka.
(Kwa taafsiri nyepesi, huwa inatumika kama njia ya majaribio kwa wachezaji katika timu kubwa, ili endapo ata-click awe qualified kucheza mechi za mashindano msimu huo).
So kupitia hii sababu, inawezekana pia Baleke kwa kuwa bado ni Kijana Mdogo sana hiyo Timu ya Lebanon pia ilitumia njia hiyo kuona kama anaweza click ili asajiliwe kwa dirisha lijalo. Food for thought.
 
Back
Top Bottom