Uchaguzi 2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

Wee mjinga, na ujinga umeanzia hapa kwamba iyo mikoa yote ulotaja Anapewa Kura JPM

Yaan watu wa kagera wampe Jiwe?? Mara???? Singida??? Mwanza ???? Lasalaleeeeee

Kama ni kiazi, wee ni kiazi cha futari
Wewe ndo jingalao, mwaka huu mnakula kipigo cha kura za aibu, hakuna mwaka ambao ccm itaandika historia kama mwaka huu.
Chadema mliweka mgombea kichaa.
 
Anha
Kumbe ww umepanga tu kunshana.
Kuna jambo ambalo halina takwimu?
Siasa iko very dynamic na ukionacho kwa macho sio kinachotokea siku ya kupiga kura.kuna watu walishafanya maamuzi wanamchagua nani.na hawaji kwenye mikutano na hata umwambieje huwezi kumbadilisha mtazamo wake
 
Asante kwa data hizi hakika ngoja tuendelee kujifunza
 
 
Ukiachilia mbali kuwa JPM amefanya vyema katika uongozi wake wa miaka mitano, sera na mikakati kwa ilani mpya lakini pia coverage aliyoifanya JPM kuwafikia wananchi haswa wa vijijini ni kubwa mara dufu, Tunataraji ushindi mkubwa kwa CCM na JPM uchaguzi huu.
 
Ukiachilia mbali kuwa JPM amefanya vyema katika uongozi wake wa miaka mitano, sera na mikakati kwa ilani mpya lakini pia coverage aliyoifanya JPM kuwafikia wananchi haswa wa vijijini ni kubwa mara dufu, Tunataraji ushindi mkubwa kwa CCM na JPM uchaguzi huu
 
Sasa mbona hata hueleweki mzee unazunguka halafu tunashindwa kuelewa una zunguka nini hivo??
 
Wee mjinga, na ujinga umeanzia hapa kwamba iyo mikoa yote ulotaja Anapewa Kura JPM

Yaan watu wa kagera wampe Jiwe?? Mara???? Singida??? Mwanza ???? Lasalaleeeeee

Kama ni kiazi, wee ni kiazi cha futari
Kagera, Tundu Lissu hajulikani ni Magufuli tu! Na kumbuka tetemeko la Kagera liliwaumiza watu wa Bukoba mjini na viunga vyake ambayo ni ngome ya CHADEMA (Mh. Rwakatale - wakati huo) sehemu zilizo baki za Kagera ni ngome ya CCM na hawakuathirika na tetemeko! Hivyo comment za JPM kuhusu tetemeko, ni wachache watakao mind!
 
Ila wanafunzi walipewa holiday wakaenda kuangalia fiesta, na wengi hawajafikia umri wa kupiga kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…