Uchaguzi 2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

Uchaguzi 2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

Kwa mwendu huu wa kufokea watu na kuwapiga mikwara pamoja na kupaniki? Labda abadilike.
JPM anaingia katika uchaguzi akiwa na kofia mbili, ni mgombea vile vile ni Rais wa JMT sasa ashindwe kukemea uovu na uzembe eti anyenyekee ili na hao wazembe wampe kura? kufanya hivyo unaweza pata kura za wazembe wawili na ukapoteza na weledi watano
 
KILA WILAYA TUNACHAKUJIVUNIA NA SABABU ZA KWANINI TUPEWE RIDHAA YA KUTAWALA MIAKA 5 TENA
#MitanoTena
1599579627499.png
 
Ata mimi nakubaliana na wewe kwa jinsi mgombea wa chama cha mapinduzi anavyo zidi kupiga kampeni ndivyo wapinzani wanvyo zidi kuchanganyikiwa , kinachowafanya wavulugwe ni vile wanavyo tafuta huruma kwa watanzania na kuacha kuzinadi sera zao, vile vile wao wamejikita kukosoa vitu ambavyo na wao bado wanavitumi mfano ununuzi wa ndege, Tundu lisu still anazunguka na ndege , huu ni unafiki wa wazi kabisa kwa wananchi na wanapaswa kupuuzwa.
 
Uongozi wa vitendo ndio una mbeba JPM,
Yale alowatendea watanzania ni obsevable
 

Attachments

  • IMG-20200908-WA0011.jpg
    IMG-20200908-WA0011.jpg
    27.8 KB · Views: 1
  • IMG-20200908-WA0080.jpg
    IMG-20200908-WA0080.jpg
    34.7 KB · Views: 1
😄😄😄
Watu walikosa lunch leo utawajua tu
hahahahah
mzee wa ubwabwa kabananishwa
ila mjue kuna vitu tunatkiwa kuhoji sisi kama wasomi na kama jukwaa la wasomi, je ni sahihi kutumia chakula kama sehemu ya kuwa vutia wapiga kura?

tumekuwa na uaminifu kiasi hgani kwamba hichi chakula tunachokula ni salama na hakina kmadhara kwa afya zetu?

vipi kama akityokwea mamluki mmoja akaamua kukiwekean sumu pasipo watu wengine kufahamu na kikaleta madhara makubwa kwa taifa?
haya mambo inabidi tuyaangalie kwa jicho lakipekee pia.

mimi kwangu naona NI BORA ANAVYOTUMIA MGOMBEA WA ACT&CHADEMA &CCM
 
Usijidanganye kuwa Magufuli anakubalika kanda ya ziwa kwa lile tamasha. Mkoa wa mara ni nusu kwa nusu, Mkoa wa Kagera hawataki kumsikia kwa matusi yake wakati wa tetemeko.

Hata kwao geita hakubaliki kivile, turufu yake iko Mwanza na anatumia mbinu ya kuongea kisukuma mikutanoni wakati ye kazaliwa Chato, wilaya Biharamulo, mkoa wa Kagera, kabila msubi. Aliileta Chato geita kimkakati baada ya kuwa apendwi kule Biharamulo
Kujumla Kanda ya ziwa, siioni kabisa chadema ukipata Kura zaidi ya CCM, Dodoma, Tabora, Simiyu ,Geita, more huko Ni ngome ya Magufuli na watu wake.Kupingana na Hilo Ni kudhibitisha kuwa wewe Ni mgonjwa wa akili, acha kubweka🗣️, takwimu zinaongea.
 
Wewe endelea kijiongopea majibu tar 28/10
sahihi kabisa mimi ninakubaliana na qwewe kuwa kujaa kwa watu uwanjani sio ishara ya kwmba watakupa kura zao kwa kuwa kura ni siri ya MTU mwenyewe kwenye ballot.

lakini sisi kama wasomi tunaweza kufanya predictions kwa kutumia tafiti mbalimbali zinazofanyika za kutusaidia kujua uelekeo umekaaje ambao mara nyingi majibu huangukia kwenye tafiti hizohizo

tujiulize tu kuwa ni nani hasa mpiga kura?
wapiga kura wengi wanapatikana katika maeneo gani vijijini ama mijini
je mgombea yupi anakubalika sehemu gani zaidi
je mgombea gani ana influence kwa watu katika maamuzi ama matendo ambayo amekwisha kufanya katika taifa ambavyo vitamtambulisha kwa wapiga kura kwa kipindi hiocho cha kupiga kura?

tukumbuke kuwa hizi kampeni zitakoma ndipo watu wata[iga kura na hizi ahadi na vitendo ndivyo vitakavyo baki akilini mwawapiga kura
 
Kuna kitu ukielewe.kuna watu wanaipenda ccm ila hawampendi magufuli yeye kama yeye.mimi niko kwenye hilo group na ni mwana kanda ya ziwa ila hata chato kuna watu hawampendi magu tena wengi tu
Hoja yako ni hafiu na yakufikirika sana, "HATE SHOULD NOT BE THE UPSET OF LOVE"
 
Tuache ubishi Magufuli wa 2015 na 2020 ni watu tofauti sana yaaani amezidi kuwa na mvuto Kwa watanzania kuliko 2015
Hii inaonyesha dhahiri anaenda kuongoza katika uchaguzi mkuu oktoba 28.
Ametenada vitu ambavyo vimewagusa wengi na ndio maana amekosha mioyo ya wengi
tukumbuke kuwa katika kipindi hichi cha miaka mitano amejikiotas zaidi katika kufanya mabo makubwa yafuatayo.
1. Kuimarisha nidhamu serikalini ikiwa ni pamoja na kuinua hadhi ya huduma katika taasisi za kiserikali
2. Kupamabana vikali na adui rushwa
3.Kuondoa na kuendelea kupambana na upotevu wa hela na mapato ya serikali ikiwa ni pamoja na kuwaondoa waajiriwa hewa
4. Kuengua mikataba ya madini iliyokuwa sababishia hasara taifa kwa m,apato hafifu na hivyo kuinua soko la madini la ndani na kuongeza export kwa upande wa mkadini
na mengine mengi kutaja m,achche yote a,bayo yanamjengea imani kw watanzania kuwa anawafaa zaidi kuendelea kuwa raisi wao
 
Kujumla Kanda ya ziwa, siioni kabisa chadema ukipata Kura zaidi ya CCM, Dodoma, Tabora, Simiyu ,Geita, more huko Ni ngome ya Magufuli na watu wake.Kupingana na Hilo Ni kudhibitisha kuwa wewe Ni mgonjwa wa akili, acha kubweka🗣️, takwimu zinaongea.
Jamaa ni mkabila na mdini sana
 
Kwenye hiyo takwimu yako umejumlisha na wale ambao wanakuja kwa ajili ya fiesta tu?
Hii ni hoja ya hovyo katika utetezi na ni dalili za hofu, hajaanza kukusanya watu wengi kipindi hiki pekee Magufuli ni kipenzi cha watanzania wenye kupenda maendeleo na wazalendo
 
Tanzania tuna historia gani ya takwimu hadi useme ulichoandika ni takwimu.Hii nchi bado haina watu wengi hivyo wenye misimamo thabiti itakayokufanya uje na historia ata angalau ya mwaka mmoja achilia mitano.Kuna watu hawakumbuki na wala hawajishughulishi kukumbuka 2015 wagombea waliongea kitu gani.Wengi wanaangalia ya leo na ikifika siku ya kura itategemea kaamkaje siku hiyo.Kwahiyo ulichokiandika hakina tofauti na mtu aliyebeti kamari ya mpira kwa timu fulani kwakuangalia kiwango cha mechi zake za nyuma bila kujua lolote linaweza kutokea uwanjani.
Inaonekana huna hata basics za takwimu na makadirio.
 
Back
Top Bottom