Asha Ommary
Member
- Sep 1, 2020
- 97
- 90
JPM anaingia katika uchaguzi akiwa na kofia mbili, ni mgombea vile vile ni Rais wa JMT sasa ashindwe kukemea uovu na uzembe eti anyenyekee ili na hao wazembe wampe kura? kufanya hivyo unaweza pata kura za wazembe wawili na ukapoteza na weledi watanoKwa mwendu huu wa kufokea watu na kuwapiga mikwara pamoja na kupaniki? Labda abadilike.
KabsaTakwimu zenye ushaidi na za kuonekana hakuna sababu za msingi kwa watanzania kutoichagua CCM
😄😄😄CHAUMA AND RUNGWE FOR PRESIDENT.
hahahahah😄😄😄
Watu walikosa lunch leo utawajua tu
Wewe endelea kijiongopea majibu tar 28/10hahahha........
Magufuli kawashika Pabaya aseh naona hali tete
Tuache ubishi Magufuli wa 2015 na 2020 ni watu tofauti sana yaaani amezidi kuwa na mvuto Kwa watanzania kuliko 2015Wewe endelea kijiongopea majibu tar 28/10
Kujumla Kanda ya ziwa, siioni kabisa chadema ukipata Kura zaidi ya CCM, Dodoma, Tabora, Simiyu ,Geita, more huko Ni ngome ya Magufuli na watu wake.Kupingana na Hilo Ni kudhibitisha kuwa wewe Ni mgonjwa wa akili, acha kubweka🗣️, takwimu zinaongea.Usijidanganye kuwa Magufuli anakubalika kanda ya ziwa kwa lile tamasha. Mkoa wa mara ni nusu kwa nusu, Mkoa wa Kagera hawataki kumsikia kwa matusi yake wakati wa tetemeko.
Hata kwao geita hakubaliki kivile, turufu yake iko Mwanza na anatumia mbinu ya kuongea kisukuma mikutanoni wakati ye kazaliwa Chato, wilaya Biharamulo, mkoa wa Kagera, kabila msubi. Aliileta Chato geita kimkakati baada ya kuwa apendwi kule Biharamulo
sahihi kabisa mimi ninakubaliana na qwewe kuwa kujaa kwa watu uwanjani sio ishara ya kwmba watakupa kura zao kwa kuwa kura ni siri ya MTU mwenyewe kwenye ballot.Wewe endelea kijiongopea majibu tar 28/10
Hoja yako ni hafiu na yakufikirika sana, "HATE SHOULD NOT BE THE UPSET OF LOVE"Kuna kitu ukielewe.kuna watu wanaipenda ccm ila hawampendi magufuli yeye kama yeye.mimi niko kwenye hilo group na ni mwana kanda ya ziwa ila hata chato kuna watu hawampendi magu tena wengi tu
Ametenada vitu ambavyo vimewagusa wengi na ndio maana amekosha mioyo ya wengiTuache ubishi Magufuli wa 2015 na 2020 ni watu tofauti sana yaaani amezidi kuwa na mvuto Kwa watanzania kuliko 2015
Hii inaonyesha dhahiri anaenda kuongoza katika uchaguzi mkuu oktoba 28.
Jamaa ni mkabila na mdini sanaKujumla Kanda ya ziwa, siioni kabisa chadema ukipata Kura zaidi ya CCM, Dodoma, Tabora, Simiyu ,Geita, more huko Ni ngome ya Magufuli na watu wake.Kupingana na Hilo Ni kudhibitisha kuwa wewe Ni mgonjwa wa akili, acha kubweka🗣️, takwimu zinaongea.
Hakuna mtu asiyekuwa na kabila, utahangaika kumpata.Jamaa ni mkabila na mdini sana
Hii ni hoja ya hovyo katika utetezi na ni dalili za hofu, hajaanza kukusanya watu wengi kipindi hiki pekee Magufuli ni kipenzi cha watanzania wenye kupenda maendeleo na wazalendoKwenye hiyo takwimu yako umejumlisha na wale ambao wanakuja kwa ajili ya fiesta tu?
Inaonekana huna hata basics za takwimu na makadirio.Tanzania tuna historia gani ya takwimu hadi useme ulichoandika ni takwimu.Hii nchi bado haina watu wengi hivyo wenye misimamo thabiti itakayokufanya uje na historia ata angalau ya mwaka mmoja achilia mitano.Kuna watu hawakumbuki na wala hawajishughulishi kukumbuka 2015 wagombea waliongea kitu gani.Wengi wanaangalia ya leo na ikifika siku ya kura itategemea kaamkaje siku hiyo.Kwahiyo ulichokiandika hakina tofauti na mtu aliyebeti kamari ya mpira kwa timu fulani kwakuangalia kiwango cha mechi zake za nyuma bila kujua lolote linaweza kutokea uwanjani.