Uchaguzi 2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

Hpo wamepewa takwimu basi kama wanajua na wana hija wajibu kwa takwimu sasa wao tunajua kazi yao ni mitusi tuu hawana data ni kelele tuu
 
niliona watu kiduchu wakimsikikiza lissu dodoma niliogopa sana
 
Hii ni hoja ya hovyo katika utetezi na ni dalili za hofu, hajaanza kukusanya watu wengi kipindi hiki pekee Magufuli ni kipenzi cha watanzania wenye kupenda maendeleo na wazalendo

Mbona unawasemea watu? Sema ni kipenzi chako na familia yako
 
Lisu kasababisha ajira za ualimu zitangazwe,kasababisha sengerema barabara order imetoka itengenezwe,hadi October naamini mashekh wa uamsho wataachiwa.
 
Tukiachana na siasa za kinafiki tu, rais magufuli anaenda kushinda kwa kishindo kizito mnoo kutokana na Mambo Makubwa aliyo yafanya wakati wa utawala wake.
 
Mwaka 2015 ilikuwaje ? Mbona unakimbilia mambo ya 1995 ? Ukweli ni kwamba ukiniambia eti Mara upinzani na CCM ni nusu kwa nusu siwezi kukubaliana na hilo.
 
Ulikuwepo Mwanza au unaongozwa na mihemuko. Jibu matalipata 28/10
Utafiti wa hili poyoyo ni wa kijinga kabisa! Eti Lissu alipata mapokezi hafifu Mwanza hivi lilikuwa na macho hili? CCM walijaza watoto wa shule ndiyo mapokezi hayo?
 
kwa MAZINGIRA ya siasa za upinzani yalivyo awamu hii ni kweli kbs Magufuli atashinda uchafuzi mkuu...anatumia dola, mamlaka yake vby, ukabila, kuzuia habari za washindani zisitangazwe na ushenzi mwingne kibao ambao haukubaliki kidemokrasia.

kungekuwa na uchaguzi huru na haki Magufuli angepata wakati mgumu sana tofauti kbs na inavyo sasa.

kujaza mikutano yake sio kigezo cha kukubalika...TL angekuwa anasomba watu kwa malori na kutumia wasanii watu ungekuta wanakufa kwa kukanyagana kwenye mikutanoni yake!.
 
niliona watu kiduchu wakimsikikiza lissu dodoma niliogopa sana
mkutano wa magufuli watu walisombwa hadi kutoka vijijini hapa dom nilishuhudia kwa macho, wasanii pia walikuwepo wa kutosha show ya bure.
kwa TL ni kweli watu walikuwepo wachache ila waliohudhuria bila ulaghai wowote
 
mkutano wa magufuli watu walisombwa hadi kutoka vijijini hapa dom nilishuhudia kwa macho, wasanii pia walikuwepo wa kutosha show ya bure.
kwa TL ni kweli watu walikuwepo wachache ila waliohudhuria bila ulaghai wowote
katika kuwafikia wapiga kura ni lazima utumie mbinu zozote kuwapata
acha kutoa kauli za kinyonge,kuwasomba watu na kuwawekea wasanii ni njia bora ya kuwapata watu wasikie sera zako
 
MARA kura zetu ni kwa magufuli wabunge wa CCM na madiwani ni kwa CCM
Acha uongo ww. Huku Mara miaka yote Kuna wabunge wa upinzani pamoja na wizi unaofanywa na ccm. Hilo lichama halitakiwi huku. Labda ungesema Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…