Takwimu hizi zinamaana gani kwa sera zetu za kijeshi. Tumekua kama Ujerumani?

Takwimu hizi zinamaana gani kwa sera zetu za kijeshi. Tumekua kama Ujerumani?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
2B168D1F-4233-48DA-A613-648EF1F58247.jpeg
 
Huo ndio ukweli ukitaka kujua hatuna silaha ni kwenye maonyesho tumekazana na matofali tu muda wote, silaha za kisasa Uganda na kenya wametuacha mbali sana
 
Unatumia blog l za Kenya kujustify taarifa za kesho letu kweli, yaani hatuna towed artillery ata Moja na wewe unaamini tunavifaru 47 duh..mara nyingi bloger wa Kenya Huwa wanatwiat hizi habari kupata view nyingi.
Mkuuu usiww kama mzaramo!! Kama ww unazo sahihi toa zilizo sahihi acha kuleta maneno!! Hoja inapigwa kwa hoja ni kwa ajili ya kujifunza
 
mkuu hii ni ya kweli Tanzania tunajeshi lenye watu wengi tu ila silaha hatuna
Mkuu kwamba nchi nzima ina vifaru 42? Kwamba mtu akiwa na Javelin 1 tayari anamalizana na jeshi la ardhini!
 
Back
Top Bottom