Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
- #21
😀😀Tanzania yenye Kambi za jeshi kigoma,tabora,mwanza,kagera,pwani,dar,tanga, Arusha,mbeya,mtwara iwe na vifaru 47!?..fikiri babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Tanzania yenye Kambi za jeshi kigoma,tabora,mwanza,kagera,pwani,dar,tanga, Arusha,mbeya,mtwara iwe na vifaru 47!?..fikiri babu
zile za fireIndex huwa zinatoka wap?? unataka kusema wanatabiri!!…
Naamini zina usahihi ila zinatofautiana accuracy tu
kumbe wameitoa fireindex ( nimesearch google hapo)Kama accuracy inatofautiana, kwanini kwingine Nako kusiwe na tofauti mkuu?
Naona inakua ni zaidi juu ya nchi husika kuamua kipi kiwekwe wazi na kipi kisiwekwe hadharani.
Any way, ni maoni yangu ambayo si lazima yawe na usahihi au ukweli wowote.
kumbe wameitoa fireindex ( nimesearch google hapo)
Ebu kuwa professional bas mkuu!!… Usijadili data Vs Hisia zakoNawewe unakubali kabisa kwamba hatuna towed artillery hata Moja?
Mbona swali rahisi tu, professional in which aspect? Unaamini kabisa Tanzania hatuna towed artillery hata Moja, yaani tuna zero kabisa kama hizo taarifa zinazoonyesha hapo?Ebu kuwa professional bas mkuu!!… Usijadili data Vs Hisia zako
professional means jadili Data kwa Data si Data Vs imani..Mbona swali rahisi tu, professional in which aspect? Unaamini kabisa Tanzania hatuna towed artillery hata Moja, yaani tuna zero kabisa kama hizo taarifa zinazoonyesha hapo?
You are right sir.professional means jadili Data kwa Data si Data Vs imani..
Hizo taarifa za vifaru Tanzania haziko mbali na ukweli. Huwa nawaambia watu silaha hazifichiki, hakuna siri kali katika hilo. Sanasana tunatamba na Chinese Type 59G na modernization ya tanks ambazo Nyerere alinunua. Vifaru vyetu vingi vilinunuliwa na Nyerere, yani ukiangalia silaha ambazo Mwalimu alinunua ni nyingi sana kwenye inventory tuliyonayo sasa. Zimechoka na kupitwa na wakati, serviceability ndogo.Taarifa yote mkuu. Sijaongelea nchini kwetu peke yake. Ukizingatia unyeti wa mambo yanayojadiliwa.
wachangiaji wengi wanaamini kuukata ukweli ndyo uzalendo!! Kama huna kitu huna ni chachu ya kujipanga!! Huwezi jipanga pasipo kujua madhaifu yakoHizo taarifa za vifaru Tanzania haziko mbali na ukweli. Huwa nawaambia watu silaha hazifichiki, hakuna siri kali katika hilo. Sanasana tunatamba na Chinese Type 59G na modernization ya tanks ambazo Nyerere alinunua. Vifaru vyetu vingi vilinunuliwa na Nyerere, yani ukiangalia silaha ambazo Mwalimu alinunua ni nyingi sana kwenye inventory tuliyonayo sasa. Zimechoka na kupitwa na wakati, serviceability ndogo.
MBT nyingine ni VT-2 kutoka kampuni ya Norinco ya China. Units zake tunazo chache ila ndio angalau ni modern. Hapo tunaongeza na idadi kidogo ya Scorpion vifaru vidogo kutoka Uingereza vya miaka ya 70s uko.
Kwenye IFV ndio hamna kitu. APC za Soviet Union na amphibious vehicles za China kadhaa. Hatutoi budget ya kutosha kuwa armed. Tuache kujitetea wala sio uzalendo huo. Kama silaha hamna tuseme hamna, kusingizia zipo maana yake hujiamini na unajua kuna madhara kutokuwepo. Mambo ya siri si kwa bongo hii
Nashukuru kwa kuelewaYou are right sir.
Haujaelewa nilichomaanisha.Nashukuru kwa kuelewa
Umemaanisha imani yako viko vifaru 1000 😀😀Haujaelewa nilichomaanisha.
You are right sirUmemaanisha imani yako viko vifaru 1000 😀😀
Nanukuu: Silaha hazijifichi !! contract za kununua silaha huwa n ngumu kuzificha!!
lakini naelewa mtazamo wako bro
Labda takwimu ya LC300 ndo tunazo za kutosha
Nakuunga mkono. Vikosi vyetu na silaha zake data zake zimefichika sana.Tanzania yenye Kambi za jeshi kigoma,tabora,mwanza,kagera,pwani,dar,tanga, Arusha,mbeya,mtwara iwe na vifaru 47!?..fikiri babu
Angalia vizuri taarifa yako.Hizo taarifa za vifaru Tanzania haziko mbali na ukweli. Huwa nawaambia watu silaha hazifichiki, hakuna siri kali katika hilo. Sanasana tunatamba na Chinese Type 59G na modernization ya tanks ambazo Nyerere alinunua. Vifaru vyetu vingi vilinunuliwa na Nyerere, yani ukiangalia silaha ambazo Mwalimu alinunua ni nyingi sana kwenye inventory tuliyonayo sasa. Zimechoka na kupitwa na wakati, serviceability ndogo.
MBT nyingine ni VT-2 kutoka kampuni ya Norinco ya China. Units zake tunazo chache ila ndio angalau ni modern. Hapo tunaongeza na idadi kidogo ya Scorpion vifaru vidogo kutoka Uingereza vya miaka ya 70s uko.
Kwenye IFV ndio hamna kitu. APC za Soviet Union na amphibious vehicles za China kadhaa. Hatutoi budget ya kutosha kuwa armed. Tuache kujitetea wala sio uzalendo huo. Kama silaha hamna tuseme hamna, kusingizia zipo maana yake hujiamini na unajua kuna madhara kutokuwepo. Mambo ya siri si kwa bongo hii
Wapo 26kNakuunga mkono. Vikosi vyetu na silaha zake data zake zimefichika sana.
Idadi ya askari wetu haijulikani.
ni aina fulanj ya ujinga ambao umetawala kwenye vichwa vya baadhi ya wakuu huko kwenye vitengo vya serikali.Wakati wa sakata la kivuko tuliambiwa Kuna mambo sio ya kujadili.