Takwimu: Mtu mmoja anakunywa pombe lita 10.4

𝐇𝐚𝐭𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐲𝐞𝐨𝐧𝐣𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐨𝐧𝐣𝐚 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐡𝐢𝐳𝐨 𝐥𝐢𝐭𝐚.
 
Lita 10 kwa mwaka?
mbona huyo anakunywa kistaarabu.
walevi wenyewe lita 10 hata wiki haimalizi
 
Lita 10 chache sana, sawa na safari kubwa 20tu,
Tena mwaka mzima?
Huo ni wastani Kuna wengi wasio kunywa pombe +watoto. Hivyo Ina maana watu wanakunywa sana pombe🤣🤣🤣🤣🤣📌
 
Hata Mimi nadhani Kuna makosa Kwa kizi takwimu🤣🤣🤣🤣
 
Watu wengi hamjaelewa kabambikwa kwa nini?
 
Watu wengi hamjaelewa kabambikwa kwa nini?
Ni hivi: bia za walala hoi kipimo cha chupa moja ni 0.5lt yaani nusu lita.

Na kiafya unashauriwa unywe bia2 kwa siku, maana yake lita 1 kwa siku.

Mwaka mmoja una siku 365, hapo maana yake ni bia crete36. 5.

Kwa ufafanuzi huo, mtu mmoja anatakiwa kunywa kwa afya Sim tank zima la bia lenye ujazo wa lt 350 na kidogo peke yake kwa mwaka.

Je kwa maelezo yangu na takwimu alizozitoa Waziri ni yapi sahihi?

Ndonikasema kuwa kama lita 10 za bia kwa mwaka mzima ni hatari kwa afya, basi bia zifutwe.

Au wewe umeelewaje?
 
Ok, nilidhani unabishia takwimu, kumbe unahoji usahihi wa madhara ya kiafya, hapo nimeelewa.
 
Yaan tunahangaika kupata vyanzo vya mapato anatokea wazir anapanga kampeni za kushusha mapato....mkitukasirisha tunahamia japan soon....Mtuache hii vita ni kali...KABURI NDILO LITAKALO FANYA MAAMUZI...over..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…