FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.2 ya ya watu wenye umri chini ya 50yrs hufa wanapougua Corona, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Maana katika kila watu 500 wenye umri chini ya 50yrs wanapougua Corona ni mmoja tu ndio anaweza kufa endapo atakuwa na matatizo mengine ya kiafya (ana ugonjwa mwingine ambao ulikwisha mdhoofisha)
Maana katika kila watu 500 wenye umri chini ya 50yrs wanapougua Corona ni mmoja tu ndio anaweza kufa endapo atakuwa na matatizo mengine ya kiafya (ana ugonjwa mwingine ambao ulikwisha mdhoofisha)