Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

Tatizo ni kupumua na kama ventilator hakuna utakufa tu maana huwezi kupumua tena

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ndio hao wanakuwa na pre-existing conditions za kiafya hivyo ikija Corona ni kama inakuja kuwamalizia tu, ila hao ndio wako ndani ya hiyo 0.2%
Ungesoma hiyo habari hadi mwisho ungejua kuwa huyo kocha alikuwa ana kansa ya dam na muda hata hiyo corona inamkuta alikuwa mahututi..
Tena hiyo asilimia waloko chini ya 50 years ni wale ambao tayari wana magonjwa hatarishi kama kansa,wavutaji wa sigara kupindukia au wenye hali mbaya ya afya...
Alikuwa pia na kansa ya damu huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa na kansa ya damu pia, so alikuwa vulnerable kwa corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuipitia habari yote kwa undani.

Lakini wakuu hakuna kitu kizuri kama kujikinga kwa uwezo ulionao wala tusibweteke.
 
Ungesoma hiyo habari hadi mwisho ungejua kuwa huyo kocha alikuwa ana kansa ya dam na muda hata hiyo corona inamkuta alikuwa mahututi..
Tena hiyo asilimia waloko chini ya 50 years ni wale ambao tayari wana magonjwa hatarishi kama kansa,wavutaji wa sigara kupindukia au wenye hali mbaya ya afya...
Wavuta chiga kupindukia nao tupo hatarini?fafanua vizuri hapo sijakuerewa mkuu!
 
Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?

mtoa hoja umeacha point muhimu katika takwimu uliyoileta hapa nayo ni kuwa wanaokufa chini ya miaka 50 ni wale ambao wana underlying diseases. Sasa hebu jiulize watanzania wangapi wanajua ni maradhi gani yanawasumbua?

Pia kumbuka pia walio over 50 pia nao ni binaadamu. Hivi uko tayari baba yako au babu yako afariki tu kwa sababu ameshapitisha miaka 50?
 
Nimeashiria kwamba jinsi ilivyongumu kwa jogoo kutaga mayai ndivyo ilivyo ngumu kwa mtu wa umri wa chini ya50yrs kufa kwa Corona. Legeza ubongo basi khaa...

Uashirio wako hauingii akilini. Hakuna chance yeyote ile hadi mwisho wa dunia kwa jogoo kutaga mayai, lakini ipo chance ndogo (ndogo lakini ipo) ya mtu wa chini ya miaka 50 kufa kwa virusi vya corona
 
asidanganye MTU

shida IPO kupata huduma bora kwa wakati sahihi

Kibongobongo tupo chini sana kimatibabu,imagine kipimo cha corona nchi nzima kipo 1 na kipo dar..

what do you expect?

uwe na miaka 50 ama pungufu;usipopata tiba stahiki...you go

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Mkuu kwahyo ukipona wewe ulie under 50 alafu dingi na maza ako wakang'ata shuka kwako ni furesh tu au sio man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom