FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wewe pia umechanganyikiwa!Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50yrs ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Nimeashiria kwamba jinsi ilivyongumu kwa jogoo kutaga mayai ndivyo ilivyo ngumu kwa mtu wa umri wa chini ya50yrs kufa kwa Corona. Legeza ubongo basi khaa...
Ndio hao wanakuwa na pre-existing conditions za kiafya hivyo ikija Corona ni kama inakuja kuwamalizia tu, ila hao ndio wako ndani ya hiyo 0.2%Kuna kocha wa Spain mdogo tu kwa umri miaka 21 amefariki.
Usijidanganye mkuu chukua tahadhari
Hakiki kwanza andishi lako kabla ya kulisambaza.Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Ungesoma hiyo habari hadi mwisho ungejua kuwa huyo kocha alikuwa ana kansa ya dam na muda hata hiyo corona inamkuta alikuwa mahututi..Kuna kocha wa Spain mdogo tu kwa umri miaka 21 amefariki.
Usijidanganye mkuu chukua tahadhari
Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Hii makitu ime trend kote mkuu. Sio bongo tu aseewabongo siunawajua kwenye ku-trend-isha vitu. baada ya mda itakuja mada ingine just wait...
So kwako it sounds Okay kwa sisi babu zenu kufa?Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Alikuwa pia na kansa ya damu huyoKuna kocha wa Spain mdogo tu kwa umri miaka 21 amefariki.
Usijidanganye mkuu chukua tahadhari
Wataishaje wakati hawafi?Hizi takwimu sina uhakika nazo, lakini tatizo si kufa mwenye huo umri, bali huyo mwenye huo umri anaweza kuambukiza wengine wenye umri chini ya 50 na kizazi kizima kikaisha
Huko Italy vifo 600,umeshajua vijana chini 50 ni wangapi?Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Sio kwamba it is okay kufa.., yaani hujanielewa it seemsSo kwako it sounds Okay kwa sisi babu zenu kufa?
Yap sema vifo ni kwa asilimia ndogo sana kwa chini ya umri huo lakini kuchukua tahadhari pia ni muhumu sana maana ule ni ugonjwa huwezi jua nani ataondoka kweye hiyo asilimia ndogo.Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Tatizo ni facebook, Instagram, whatsapp na twitter...Hii makitu ime trend kote mkuu. Sio bongo tu asee
Hizo ndio takwimu zilizopo, kazitafute googleHuko Italy vifo 600,umeshajua vijana chini 50 ni wangapi?
Au ni porojo za vijiweni MZEE nyerere!!