Takwimu ya bodi ya mikopo mwaka huu hii hapa

Takwimu ya bodi ya mikopo mwaka huu hii hapa

Sidhani kama kuna mengine sababu mimi niko kwenye S afu namba yangu iko kwenye elfu ishirini,hivyo hesabu zao zitakuwa sawa.
duh, kweli ni noma...sasa waliokosa ndio hawapati tena nini?

Nilijua tu member mwenye akili ya kufikiria angeuliza hili swali. Yaani hata mimi sielewi ni changa la macho au?

hao ni wale wandawazi.mu ambao walishaaply mwaka jana na mwaka huu pia wame apply kama fisrt time applicants,kompyuta hizi jaman jitu liko mwaka wa pili lina apply kama mwaka wa kwanza

Huyu Lubambula Machunda kumbe bado yupo? aisee huyu mkulu niligombana nae sana miaka ile bado wizara ya elimu ya juu inashughulika na mikopo moja kwa moja kabla ya kuwepo loan board, alikuwa mnoko na mbabaishaji, sishangai hata huko loan board efficincy yao ni zero kwa kuwa na watu kama huyu.

Ningependa kufahamu utaratibu wa kupata mikopo kwa wale waliochaguliwa kwa "equivalent" entry nao wamepata mikopo na majina yao yametoka ama bado "michakato" inaendelea??

kwa kawaida huwa wanaanza na direct entry ila kwa mujibu wa maelezo wote waliiomba wameshashulikiwa

hao ni wale wandawazi.mu ambao walishaaply mwaka jana na mwaka huu pia wame apply kama fisrt time applicants,kompyuta hizi jaman jitu liko mwaka wa pili lina apply kama mwaka wa kwanza

we unajua jinsi ya kujiunga na ulifuata maelekezo na umepata mkopo na sasa hivi ndio unaanza chuo kwa hiyoo we ushia tu ku view na sio kuandika upupu..

hao ni wale wandawazi.mu ambao walishaaply mwaka jana na mwaka huu pia wame apply kama fisrt time applicants,kompyuta hizi jaman jitu liko mwaka wa pili lina apply kama mwaka wa kwanza

sasa hapo wendawazimu ni wao au wewe,huon ka ndo hvo,m2 aliaply mwaka jana afu kwa 7bu zlzo nje ya uwezo wake akashndwa kwenda chuo,mwaka hu akitaka kwenda chuo unafikir angefanyaje?acha dharau dogo,ucdhan kwenda chuo ndo umeisha yapatia maisha..

hao ni wale wandawazi.mu ambao walishaaply mwaka jana na mwaka huu pia wame apply kama fisrt time applicants,kompyuta hizi jaman jitu liko mwaka wa pili lina apply kama mwaka wa kwanza
duh! Hao jamaa hawana akili au? Maana hawajui wanawaaribia watu risiki.

Ivi iyo jtatu kweli kuna maandamano tujipange au ni rumaz tu izi nazoziskia

Ivi iyo jtatu kweli kuna maandamano tujipange au ni rumaz tu izi nazoziskia

bila ya hivyo hawatuelewi, mpaka tuoneshwe itv na mabango, ndo watatoa tamko! Amka kijana tukachukue haki yetu.

kata rufaa ikiwa huna wazazi wote wawili, vingnevyo utapoteza muda wako tu, hawana aibu hawa jamaa

wachangiaji kuna vitu viwili mnaviunganisha ikiwa vitakiwa kutenganishwa, tuwe nalo kichwani hili kwamba una wazazi wote wawili hawana Uwezo, ama wanakuwa na uwezo. 2. Umempoteza mmoja aliyebaki ni mkurugenzi, katibu wa wizara, mbunge nk ama wamefariki wote ila walikuwa na uwezo na mtoto ndiye msimamizi wa miradi yao. Hivyo kuna kifo, kipato na uhai. Chamsingi mtu ameomba mkopo anakuwa hana uwezo kiuchumi wa kumwezesha asome sio kwamba ana uwezo. Mf. Kuna kijana pale dsm wazazi wote ni marehemu na waliwaachia mali za kutosha za kutumia miaka yao yote lakini aliomba mkopo kwa kigezo wazazi kuwa marehemu kapata ikiwa ana uwezo wa kujisomesha. Ushauri wangu kama mwanaf kaomba apewe kwani ile ni haki yake binafsi na vinginevyo. Kama kwenu kuna nyumba ndo kigezo cha kuwa na uwezo wa kujisomesha? Udadavuaji wa masuala haya Lubambula alitakiwa kushirikisha waathirika na sio watumishi wenzake tu kwa kudhani anatatua tatizo kumbe anaendeleza matatizo.

Back
Top Bottom