Takwimu za Clatous Chama na Feisal Salum

Last emperor

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
10,351
Reaction score
9,855
Wanabodi nawasalimia...
Kumekuwa na kumfananisha Clatous Chama na Fei Toto siku za hivi karibuni. Takwimu hizi hapa:

Screenshot_20220219-073015_1.jpg
 
Acheni ujinga muda mwingine muwe mnatumia akili kufikiri na sio vinginevyo Fei bado sana ni mchezaji mzuri lkn hajafika levo ya Chama
Kufeli Morocco sio kigezo cha yeye kuwa mbaya ila kitendo cha kutakiwa na club kubwa inaonyesha uwezo wake.

Kuna wachezaji lukuki waliwahi kufeli sehemu moja kwenda sehemu na sehemu walipotoka walikuwa mastaa wameenda sehemu nyingine wamekuwa mdebwedo mfano Mohamed Salah wa Chelsea Torres wa Chelsea Shevichenko wa Chelsea Veron wa man u hao baadhi tu
 
Acheni ujinga muda mwingine muwe mnatumia akili kufikiri na sio vinginevyo Fei bado sana ni mchezaji mzuri lkn hajafika levo ya Chama
Kufeli Morocco sio kigezo cha yeye kuwa mbaya ila kitendo cha kutakiwa na club kubwa inaonyesha uwezo wake

umenena ukweli kabisa ila uto wengi hawana akili na ni mashabiki maandazi
 
Hata De Bruyne wa Chelsea

Back
Top Bottom