Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Hawataki kukubali ukweli wanasubiri aondoke ndio waseme huyo feisal toka aje utopolo kafanya lipi kubwa mpk uanze kumlinganisha na kina chamaKaishiwa . Nadhani ni ndiye yule roporopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawataki kukubali ukweli wanasubiri aondoke ndio waseme huyo feisal toka aje utopolo kafanya lipi kubwa mpk uanze kumlinganisha na kina chamaKaishiwa . Nadhani ni ndiye yule roporopo
Tofauti ya chama na fei toto ni sawa na tofauti ya mbingu(chama) na dunia(fei toto)Acheni ujinga, fei toto ni mchezaji mzuri ila hajafikia level ya kumfananisha na chama.
Huyo Faisal amefaulu Nini...ameshinda taji gani? Ameshinda kombe gani?Chama ni mchezaji ambaye hawezi kucheza timu yoyote ile duniani zaidi ya Simba. Mafanikio yeke huwa yapo Simba kwengine kote zero. Huwezi kufananisha mzee na kijana,Huwezi kumfananisha Mtu aliyefeli na ambaye hajafeli
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app