Takwimu za Clatous Chama na Feisal Salum

Takwimu za Clatous Chama na Feisal Salum

Tofautisha hawa watu, Rage aliyasema hayo akiwa kama kiongozi wa Simba, akiwaasa Simba wenzake wawe na akili. Manara aliyasema hayo akiwa msemaji wa Simba kwenda timu pinzani, na ukizingatia ulopo lopo aliokuwa nao akiwa Simba, huwezi shangaa kauli hiyo.
Luc Eymael aliwaita lile jina mlipendalo akiwa timu gani?
 
Assist kwa timu ya Daraja la tatu?
images (1).jpeg

Mkuu,hiyo ni timu ya daraja la ngapi 🤣🤣🤣
 
Hizi hoja sijui huwa mnaziokota wapi, Chama alisajiliwa Simba kwenda Morocco kucheza mpira. Kila siku alikuwa bench,na ni wazi alishindwa kuonesha kama ana kiwango sahihi cha soka la kimataifa. Kuhusu watoto hizo ni hoja za kujitetea tu.
Kwani hizo zako umezitoa wapi?
 
Wanabodi nawasalimia...
Kumekuwa na kumfananisha Chama na Fei Toto siku za hivi karibuni. Takwimu hizi hapa

View attachment 2123586
Chama ni mchezaji ambaye hawezi kucheza timu yoyote ile duniani zaidi ya Simba. Mafanikio yeke huwa yapo Simba kwengine kote zero. Huwezi kufananisha mzee na kijana,Huwezi kumfananisha Mtu aliyefeli na ambaye hajafeli

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Acheni ujinga muda mwingine muwe mnatumia akili kufikiri na sio vinginevyo Fei bado sana ni mchezaji mzuri lkn hajafika levo ya Chama
Kufeli Morocco sio kigezo cha yeye kuwa mbaya ila kitendo cha kutakiwa na club kubwa inaonyesha uwezo wake...
Naomba mjibu swali langu.

Tajeni hapa umri wa Chama na wa Fei Toto? Kisha tuendelee na mjadala

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mwisho wa msimu tutarudi hapa mda utaongea, tulianza na Mayele na Kibu Denis huo mjadala naona umefungwa
 
Chama ni mchezaji ambaye hawezi kucheza timu yoyote ile duniani zaidi ya Simba. Mafanikio yeke huwa yapo Simba kwengine kote zero. Huwezi kufananisha mzee na kijana,Huwezi kumfananisha Mtu aliyefeli na ambaye hajafeli

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Feisal ni mchezaji wa utopolo pekee, yule hata APR ya Rwanda hawezi kusajiliwa[emoji1787]
 
Acheni utani , Feitoto kacheza timu kubwa barani Afrika na ulaya . Amewahi kucheza timu ya daraja la kwanza Kmkm ya ufaransa , singida utd drj la kwanza ya Hispania . Sasa hivi anacheza utopoloni fc , timu ya daraja la kwanza huko Ureno. Feitoto ni mchezaji mkubwa Sana anga za akina Messi. Msimlinganishe na chama
 
Hizi hoja sijui huwa mnaziokota wapi, Chama alisajiliwa Simba kwenda Morocco kucheza mpira. Kila siku alikuwa bench,na ni wazi alishindwa kuonesha kama ana kiwango sahihi cha soka la kimataifa. Kuhusu watoto hizo ni hoja za kujitetea tu.
Na alishindwa Nini kuwahamishia huko hao watoto wake? Je angesajiliwa na PSG angerudi bongo.. hawa makolo bure kabisa.
 
Back
Top Bottom