Takwimu za Clatous Chama na Feisal Salum

Ieleweke kwamba: Chama hajafeli Morocco, hali ya mazingira na sababu kuu nyingine ni watoto wake, maana wanasoma hapa Tanzania, mazingira yalimshinda na hivyo kuamua kuja kuwa karibu na watoto wake ambao mara nyingi walikuwa wakimsumbua aje kuwa nao.

Chanzo ni Triple C mwenyewe.

My comment; hakuna kiungo yeyote kwa ukanda huu wa CECAFA anayeweza kumfikia Clatous Chota Chama.

Yanga hawana kiungo yoyote ( attacking midfielder) wa kumkaribia Chama.

Chama ni genius wa football.

Over!!
 
Hizi hoja sijui huwa mnaziokota wapi, Chama alisajiliwa Simba kwenda Morocco kucheza mpira. Kila siku alikuwa bench,na ni wazi alishindwa kuonesha kama ana kiwango sahihi cha soka la kimataifa. Kuhusu watoto hizo ni hoja za kujitetea tu.
 
"Kule Yanga mwenye akili ni Baba yangu MZee Sunday Manara na Mzee Jakaya Kikwete basi,walioabaki wote hawana akili" By Msemaji wa Yanga Haji Manara
Tofautisha hawa watu, Rage aliyasema hayo akiwa kama kiongozi wa Simba, akiwaasa Simba wenzake wawe na akili. Manara aliyasema hayo akiwa msemaji wa Simba kwenda timu pinzani, na ukizingatia ulopo lopo aliokuwa nao akiwa Simba, huwezi shangaa kauli hiyo.
 
Hizi hoja sijui huwa mnaziokota wapi, Chama alisajiliwa Simba kwenda Morocco kucheza mpira. Kila siku alikuwa bench,na ni wazi alishindwa kuonesha kama ana kiwango sahihi cha soka la kimataifa. Kuhusu watoto hizo ni hoja za kujitetea tu.
Basi tufanye zawadi mauya ni bora kuliko Chama ili ukenue magego hayo yenye mboga za majani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mboga za majani ni chakula mujarab kabisa, na tuseme Chama ni bora duniani ili uweze kuchanua kishundu vizuri.
 
Haya ndio matumizi mabaya ya uhuru yaani mtu kabisa anamfananisha Chama na mchezaji mwengne wa Ligi hii NBC premier league?
Sio Fei tu bali ni ligi nzima hii na ligi jirani ukanda huu wote wa Cecafa hakuna mchezaji anayekaribia uwezo wa Chama Triple C
 
Huyu alie shindwa kucheza hata nusu msimu Morocco?
 
Tofautisha hawa watu, Rage aliyasema hayo akiwa kama kiongozi wa Simba, akiwaasa Simba wenzake wawe na akili. Manara aliyasema hayo akiwa msemaji wa Simba kwenda timu pinzani, na ukizingatia ulopo lopo aliokuwa nao akiwa Simba, huwezi shangaa kauli hiyo.
Najua inaumiza lakini ndiyo hivyo tena,kule Yanga wote hamna akili isipokuwa watu wawili tu😂
 
Back
Top Bottom