Takwimu za Clatous Chama na Feisal Salum

Acheni ujinga muda mwingine muwe mnatumia akili kufikiri na sio vinginevyo Fei bado sana ni mchezaji mzuri lkn hajafika levo ya Chama
Kufeli Morocco sio kigezo cha yeye kuwa mbaya ila kitendo cha kutakiwa na club kubwa inaonyesha uwezo wake.

Kuna wachezaji lukuki waliwahi kufeli sehemu moja kwenda sehemu na sehemu walipotoka walikuwa mastaa wameenda sehemu nyingine wamekuwa mdebwedo mfano Mohamed Salah wa Chelsea Torres wa Chelsea Shevichenko wa Chelsea Veron wa man u hao baadhi tu
 
umenena ukweli kabisa ila uto wengi hawana akili na ni mashabiki maandazi
 
Hata De Bruyne wa Chelsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…