Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Kwa kukumbushia tu chop aliyoifanya Kibu leo kwenye goli la pili la Baleke inafanana na chop ya goli la pili la jana la Liverpool la kusawazisha.
 
Ndugu zangu naomba ile picha ya kib denis anatuliza mpira kwenye gamba
Kitu gambani
IMG_20220717_111201.jpg
 
ni haki yako kikatiba
Ukipata nafasi angalia tena mechi na Raja kule Morocco halafu uniambie Denis Kibu ni mchezaji mbovu. Matter of fact, angalia game yoyote kati ya 10 zilizopita za Simba.

Katika vikosi vyote vya Simba na Yanga, naweza kusema ndiye mchezaji anayecheza mpira kwa usahihi sasa hivi.
 
Back
Top Bottom