Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Kibu kwa sasa anafanya kazi aliyotumwa uwanjani ndiyo maana akiwa fit ana uhakika wa kuanza katika kikosi cha Simba. Hakuna mwanasimba au kocha wa Simba anayemlalamikia kwa kutofunga magoli maana hilo siyo jukumu lake la msingi.
Defensive striker [emoji23][emoji23]
 
Hadi jamaa anashangaa
Anamshangaa wakati akiwapaga ubavu tu wachezaji wenu wala ugali na sukari, huwa wanapepea tu hadi refa anawaitia faulo wakati ni ishu ya misuli tu kuzidiana.
 
Kwa hili niache
Kast seen inaonesha mara ya mwisho ilikuwa ni saa 4:57 dakika chache kabla Inonga hajapiga ile header
Screenshot_20230416-214646.png
 
Niletegemea wewe ndio ungekuwa wakwanza

Haya wakusanye wenzako mjadili tena
Utabiri wangu umetimia Kibu hakuniangusha kitakwimu yupo vizuri na ameimprove chini ya utawala wa Rabertinho ,kamuambia wewe ni Messi wangu piga kazi.
 
Mimi ni mtu mzima. Hivyo sina sababu ya kujiita jina la mtu yeyote yule hapa duniani. Jina langu la Tate Mkuu linanitosha.
Humu tunatumia fake IDs, kila mtu anaweza akatumia I'D kulingana na sababu yake binafsi.

Ila Azizi Ki leo sijui alicheza kiwango cha level gani
 
Back
Top Bottom