Fountain of Youth
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,026
- 2,299
Hujuma hizi uzi hauna ladha tenaAu na wao wanaumia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujuma hizi uzi hauna ladha tenaAu na wao wanaumia?
Kama sijasahau ilisomeka "Takwimu za Kibu vs Mayele zinasikitisha". Itakua mwenye thread aliwalilia mod waedit
AahaaaaaaKama sijasahau ilisomeka "Takwimu za Kibu vs Mayele zinasikitisha". Itakua mwenye thread aliwalilia mod waedit
Hujuma hizi uzi hauna ladha tena
Huu uzi unaonesha ni jinsi gani alivyo kiazi ikabidi awaliloe mod wamuokoeAahaaaaaa
Itakuwa akaona aabadilishe na username
Maxence Melo Paw njoeni huku
Hizi ni hujuma za wazi😎Active Mhariri Paw Moderator Mhariri Maxence Melo Boqin Cookie , inakuwa vipi mnafanya hujuma katika uzi huu na kubadilisha heading iliyodumu takribani mwaka mzima na kufuta post humu ?
Je uhuru wa maoni uko wapi wakati hatujaandika matusi wala kumshambulia mtu isipokuwa takwimu tu ?
Turudishieni heading yetu neno "Zingatia uchungu "liwepo maana huku ni kuondoa uhalisia la sivyo tutaamini kuwa hata mods mnapewa bahasha ..
Scars naomba utusaidie kutufikishia malalamiko yetu kwa mods kuhusu uzi wetu huu pendwa.Active Mhariri Paw Moderator Mhariri Maxence Melo Boqin Cookie , inakuwa vipi mnafanya hujuma katika uzi huu na kubadilisha heading iliyodumu takribani mwaka mzima na kufuta post humu ?
Je uhuru wa maoni uko wapi wakati hatujaandika matusi wala kumshambulia mtu isipokuwa takwimu tu ?
Turudishieni heading yetu neno "Zingatia uchungu "liwepo maana huku ni kuondoa uhalisia la sivyo tutaamini kuwa hata mods mnapewa bahasha ..
Aisee mods wanatuhujumuActive Mhariri Paw Moderator Mhariri Maxence Melo Boqin Cookie , inakuwa vipi mnafanya hujuma katika uzi huu na kubadilisha heading iliyodumu takribani mwaka mzima na kufuta post humu ?
Je uhuru wa maoni uko wapi wakati hatujaandika matusi wala kumshambulia mtu isipokuwa takwimu tu ?
Turudishieni heading yetu neno "Zingatia uchungu "liwepo maana huku ni kuondoa uhalisia la sivyo tutaamini kuwa hata mods mnapewa bahasha ..
Isomeke "Takwimu za kibu vs Mayele zinatia uchungu"Active Mhariri Paw Moderator Mhariri Maxence Melo Boqin Cookie , inakuwa vipi mnafanya hujuma katika uzi huu na kubadilisha heading iliyodumu takribani mwaka mzima na kufuta post humu ?
Je uhuru wa maoni uko wapi wakati hatujaandika matusi wala kumshambulia mtu isipokuwa takwimu tu ?
Turudishieni heading yetu neno "Zingatia uchungu "liwepo maana huku ni kuondoa uhalisia la sivyo tutaamini kuwa hata mods mnapewa bahasha ..
Mods wana uhuni fulani hivi. Juzi nimeanzisha uzi wa Kibu, wakaattach picha yake bila idhini yangu.Kweli aisee huu sio uhuru wa maoni Jf wanazingua sana.
Wewe si uliwaomba Mods wabadilishe hiyo titleActive Mhariri Paw Moderator Mhariri Maxence Melo Boqin Cookie , inakuwa vipi mnafanya hujuma katika uzi huu na kubadilisha heading iliyodumu takribani mwaka mzima na kufuta post humu ?
Je uhuru wa maoni uko wapi wakati hatujaandika matusi wala kumshambulia mtu isipokuwa takwimu tu ?
Turudishieni heading yetu neno "Zingatia uchungu "liwepo maana huku ni kuondoa uhalisia la sivyo tutaamini kuwa hata mods mnapewa bahasha ..
Rudisheni title ya mwanzo hii uzi umepoteza ladhaWewe si uliwaomba Mods wabadilishe hiyo title