Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Mitaa ina amani kwa sababu inajua kinachoenda kuwakuta uarabuni.

Ukikutana na kibonde, hata tisa unafunga tu. Shida ni kumfunga nyingi mbabe.

Naunga mkono wazo la kuuweka huu uzi kua sticky. Ni jambo jema kabisa. Vizazi vijavyo vitajifunza mengi kupitia huu uzi.
Simba imekuwa kwenye haya mashindano kwa muda mrefu, wewe ni rahisi kuona kawaida na kuchukulia game ya upande mmoja

Lakini game ya marudiano inaweza kuleta majibu tofauti.

Jambo ambalo wewe na wenzako mnashindwa kujiuliza ni, lini mtapata fursa ya kucheza na timu kubwa kama Wydad?

Kwasababu ili ucheze na hii miamba inatakiwa ufike hatua fulani ngumu ndio uwakute.

Sasa hizo hatua kama upaja wako mdogo unafikiri utawakutia wapi?

Mechi ya kirafiki?

Hela mnayo ya kuwagharamia mpaka wanaondoka?

Wydad inawachezaji zaidi ya 8 ambao hao ndio waliofika nusu fainali ya kombe la dunia.

Nafasi hii nyie ni lini mtaipata?
 
Nitajie wachezaji wanne tu kati ya hao 8 walio cheza WC unatuona mbumbumbu kama wewe?
 
Hawa Rivers tuliotoka kuwaburuza, walicheza na Wydad na wakamfunga 2-1 hapo kwao. Itoshe kusema kwamba, kucheza na Wydad sio big deal ndugu mtani.

Hebu turudi kwenye takwimu za Kibu Vs Mayele. Ni kweli zinatia uchungu? Mimi naona ni kweli!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nakupa demo kwanza

Ahmed Reda Tagnaouti

DF: Yahia Attiat Allah

Yahya Jabrane

Halafu hapo ukumbuke kocha wa Morocco alikuwa ni Walid Regragui ambaye ni former coach wa Wydad

Hapo ni kwa uchache tu sijataka kujaza server
 
Wydad hakupeleka kikosi cha kwanza, wachezaji wengi walikuwa ni wale jamii ya Azizi Ki, wanzia benchi
 
Tukiwatoa Wydad tutajijengea heshima, hizi tambo zao Utopolo tutazizika mazima.
 
Hawa Rivers tuliotoka kuwaburuza, walicheza na Wydad na wakamfunga 2-1 hapo kwao. Itoshe kusema kwamba, kucheza na Wydad sio big deal ndugu mtani.

Hebu turudi kwenye takwimu za Kibu Vs Mayele. Ni kweli zinatia uchungu? Mimi naona ni kweli!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nikutumie video ya kiongozi wenu anashangaa hao Rivers jinsi walivyo wa hovyo walimfungaje Wydad?
 
Wydad hakupeleka kikosi cha kwanza, wachezaji wengi walikuwa ni wale jamii ya Azizi Ki, wanzia benchi
Bana wee, sisi tunajua Wydad alicheza na akakandwa. Hayo mengine sio shida yetu!

Takwimu zinatia uchungu au la?
 
Hawa Rivers tuliotoka kuwaburuza, walicheza na Wydad na wakamfunga 2-1 hapo kwao. Itoshe kusema kwamba, kucheza na Wydad sio big deal ndugu mtani.

Hebu turudi kwenye takwimu za Kibu Vs Mayele. Ni kweli zinatia uchungu? Mimi naona ni kweli!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani Simba vs Yanga ngapi ngapi?
 
Nikutumie video ya kiongozi wenu anashangaa hao Rivers jinsi walivyo wa hovyo walimfungaje Wydad?
Sasa suala la Rivers walimfungaje Wydad mimi linanihusu nini brother? Mimi nichofahamu, walimfunga 2-1.

Kiongozi ashangae au asishangae, habadilishi ukweli kwamba Rivers alimtandika bingwa mtetezi wa CAF!
 
Bana wee, sisi tunajua Wydad alicheza na akakandwa. Hayo mengine sio shida yetu!

Takwimu zinatia uchungu au la?
Kukandwa ni matokeo ya mwisho

Ila hapa kuzijua sababu kwanini kakandwa ndio hicho kinaitwa football analysis
 
Kwani Simba vs Yanga ngapi ngapi?
Jamani, tutajadili mada ngapi?

Takwimu zinatia uchungu au La? Hebu tujikite hapo ndio lengo la uzi. Sio kujadili ushindi wa simba dhidi ya Yanga, ambao umekuja baada ya mechi sita mfululizo bila ushindi!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kukandwa ni matokeo ya mwisho

Ila hapa kuzijua sababu kwanini kakandwa ndio hicho kinaitwa football analysis
Alikandwa kwa sababu alizidiwa uwezo, full stop!

Kama Rivers alibahatisha, basi hata hawa waliomfunga Wydad jana nao walibahatisha.

Haya turudi kwenye takwimu za Kibu Vs Mayele!
 
Jamani, tutajadili mada ngapi?

Takwimu zinatia uchungu au La? Hebu tujikite hapo ndio lengo la uzi. Sio kujadili ushindi wa simba dhidi ya Yanga, ambao umekuja baada ya mechi sita mfululizo bila ushindi!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Soma niliyemquote ndio utaelewa
 
Sasa suala la Rivers walimfungaje Wydad mimi linanihusu nini brother? Mimi nichofahamu, walimfunga 2-1.

Kiongozi ashangae au asishangae, habadilishi ukweli kwamba Rivers alimtandika bingwa mtetezi wa CAF!
Wewe si ndiyo umesema "Itoshe kusema kwamba, kucheza na Wydad sio big deal", au nimekufananisha? Sasa kiongozi wako anapoitaja Wydad tena bila kuulizwa kuwa ni kipimo cha ubora anakosea?

Na hii tabia ya kulinganisha matokeo tulishawaonya muiache hamsikii tu.
 
Back
Top Bottom