Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Simba imekuwa kwenye haya mashindano kwa muda mrefu, wewe ni rahisi kuona kawaida na kuchukulia game ya upande mmojaMitaa ina amani kwa sababu inajua kinachoenda kuwakuta uarabuni.
Ukikutana na kibonde, hata tisa unafunga tu. Shida ni kumfunga nyingi mbabe.
Naunga mkono wazo la kuuweka huu uzi kua sticky. Ni jambo jema kabisa. Vizazi vijavyo vitajifunza mengi kupitia huu uzi.
Lakini game ya marudiano inaweza kuleta majibu tofauti.
Jambo ambalo wewe na wenzako mnashindwa kujiuliza ni, lini mtapata fursa ya kucheza na timu kubwa kama Wydad?
Kwasababu ili ucheze na hii miamba inatakiwa ufike hatua fulani ngumu ndio uwakute.
Sasa hizo hatua kama upaja wako mdogo unafikiri utawakutia wapi?
Mechi ya kirafiki?
Hela mnayo ya kuwagharamia mpaka wanaondoka?
Wydad inawachezaji zaidi ya 8 ambao hao ndio waliofika nusu fainali ya kombe la dunia.
Nafasi hii nyie ni lini mtaipata?