ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Ana magoli mangapiTuwe wakweli, Denis Kibu Mkandaji aka Drogba hawezi kukosa magoli mengi kama anayokosa Mayele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana magoli mangapiTuwe wakweli, Denis Kibu Mkandaji aka Drogba hawezi kukosa magoli mengi kama anayokosa Mayele.
Uchungu unaendeleaView attachment 2613923
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nacheka kwa nguvuTukiwatoa Wydad tutajijengea heshima, hizi tambo zao Utopolo tutazizika mazima.
Maji yameanza kujitenga na mafuta nye nye nye
Nlijua tu hili kaburi lazima lifukuliwe
Kuna siku utamuua Yule mpuuzi [emoji16]Hatupoi[emoji28]
Kwanza anatakiwa anilipe si ndioKuna siku utamuua Yule mpuuzi [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]wewe jamaa hua una ingizwa chaka na huyo mental wakoNa tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa
Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.
Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki
Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
HahahahaMwenye Avatar ya Mo nakusalimia kwa jina la Mayele ...
OKW BOBAN SUNZU
kumbe wewe ni Yanga ila kiburi tuHili ndio kosa ambalo sisi wana yanga linatusumbua, wanasimba wanauliza kwani huyo mayele kwenye mechi ya juzi hiyo tarehe 11 hakucheza?