BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Muanzisha uzi njoo ule spana. Hatukuachi hadi akili ikurudie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah! Nimecheka sana yaani. 🤣🤣
Kumfananisha King Mayele na huyo mvuta bangi ni ukosefu wa heshima.
Eti KingKumfananisha King Mayele na huyo mvuta bangi ni ukosefu wa heshima.
Cheka tu ila siku yajaDaah! Nimecheka sana yaani. 🤣🤣
Yani mechi na Singida mnaanza kusumbua watu?Ogopa Technology
King wa NBC na Yanga Empire ya TanzaniaEti King
Huo u-king kaupatia wapi?
Did I miss my vote?
Kama ni King kwenye empire ya wajinga sawa.
Ukijaga kwenye maswala ya mpira ushabiki wa local clubs, hujawahi kuwa na akili.Mayele ni level za Halaand, unamfananisha vipi na Kibu Denis?
Kwa criteria gani?King wa NBC na Yanga Empire ya Tanzania
Zote hadi ambazo hazipoKwa criteria gani?
Kwa criteria gani?
Mi ni Color blindness sionagi mavitu ya njano njano
Yanaongezeka badoMi ni Color blindness sionagi mavitu ya njano njano
marehemu Ruge aliwahi kusema ogopa Mungu na teknolojia.Na tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa
Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.
Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki
Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
Dah sikuwahi kuiona hii comment kabla. Kama uliwahi kuandika hivi halafu bado unakaza fuvu humu basi hauna aibu kabisa na kwa jamii ya kitanzania mtu asie na na aibu basi hana adabu. Binafsi nimeshangaa sana. Ni muda mwafaka sasa ukawe mchambuzi wa muziki maana naona huko unaweza kidogo. Huku unakokomaa unatoa boko sanaNa tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa
Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.
Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki
Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
Alimaanisha hivi hakumaanisha hivyomarehemu Ruge aliwahi kusema ogopa Mungu na teknolojia.
Ni kweliItajulikana
Zipo nyingine nyingi kama hizo hujapata tu bahati ya kuziona.Dah sikuwahi kuiona hii comment kabla. Kama uliwahi kuandika hivi halafu bado unakaza fuvu humu basi hauna aibu kabisa na kwa jamii ya kitanzania mtu asie na na aibu basi hana adabu. Binafsi nimeshangaa sana. Ni muda mwafaka sasa ukawe mchambuzi wa muziki maana naona huko unaweza kidogo. Huku unakokomaa unatoa boko sana