mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Kumbe tunajadili na vilema!!!Mi ni Color blindness sionagi mavitu ya njano njano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe tunajadili na vilema!!!Mi ni Color blindness sionagi mavitu ya njano njano
Kumbuka Manara naye ni kilemaKumbe tunajadili na vilema!!!
Anaropokaga huyo jamaaOgopa Technology
Manara siyo kilema tu, ni mgonjwa wa akili pia.Kumbuka Manara naye ni kilema
HakikaItajulikana
Nadhani zimeshajifunguaTakwimu bado zinatia uchungu.
Hahahaa. Rafiki ukikutana na za Kibu tuletee pia hebu. 🤣
Hahahahaa. Lol.Hata kibu denis pia
Kibu Denis rekodi yake kubwa ni ile ya kuifunga tu Yanga mechi ya mwisho walipokutana. Nje ya hapo, ni kosa kubwa sana kumfananisha na mchezaji kama Fiston Kalala Mayele.Hahahaa. Rafiki ukikutana na za Kibu tuletee pia hebu. 🤣
Za kibudenga anazo metal madaHahahaa. Rafiki ukikutana na za Kibu tuletee pia hebu. 🤣
Mzm mpk leo??Na tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa
Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.
Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki
Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
HUyu jamaa anaongeaga kwa kufocus mbele zaid, ila hapa sijui alipitiwa ba nini ScarsNa tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa
Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.
Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki
Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
mtoa uzi kawalilia mod wafute uzi wao wamekaza