Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

[emoji28][emoji28][emoji28] ndugu zangu habari gani wakuu[emoji16]
Uchungu nao?[emoji16][emoji16]
 
1684520698898.jpg
 
Na tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa

Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.

Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki

Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
Mzm mpk leo??
 
HUyu jamaa anaongeaga kwa kufocus mbele zaid, ila hapa sijui alipitiwa ba nini Scars
 
Back
Top Bottom