Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Ila we jamaa ndio umekosa aibu kabisa.

Yani wewe ni Mwigulu utofauti wenu utakuwa kwenye rangi ya tai tu lakini haya hamna
Nakumbuka wewe ulikuwa Hater namba moja wa Mayele duniani, msimu ulioisha kila mechi Yanga alicheza unamsagia kunguni Mayele kwenye uzi mara ana bahatisha na chambuzi nyingine kibao kumchambua negatively .Lakini msimu huu umepoa na chambuzi zako kuhusu Mayele vipi umepewa bahasha nini tuambizane ..
 
Sasa anakitu gani special au ni ulimbukeni wenu tu?
 
Amekuwa gumzo Africa wachambuzi wakubwa wa Supersport ,BBC ,Canal + wote wanamzungizia Mayele kwa ukubwa sasa sijui vipi na wao malimbukeni ?
Amekuwa gumzo Africa ndio nini?

Wanamzungumzia peke yake au hufatilii habari za michezo?

Kuna ajabu gani hapo kwa yeye kuzungumziwa na media za michezo wakati timu yake inashiriki hatua ya fainali?
 
Sifuatilii vipindi vya michezo bongo ndio maana naona kuhusu Mayele tu.

Gumzo maana yake amekuwa na kiwango bora kiasi ambacho ameteka watu wengi .
 
Hufuatilii vipindi vya michezo kweli ila ungejua kwa saizi ambavyo timu zimebaki chache lazima wachambuzi watakuwa wanaziangalia timu mbili tu.

Kwa hiyo kwenye hizo timu itakuwa unachambuliwa kila upande, upande wa ulinzi mpaka upande wa kushambulia.

Sasa kuja hapa na kelele kuwa anazungumziwa na BBC sijui Canal, hiyo inaonesha hujui maswala ya uchambuzi na hufatilii vipindi vya michezo.
 
Mhasibu mkuu sasa sasa kawa mwanaharakati akisaidiana na mwanasheria nguli wa mikataba(rejea sakata la Fei) Mr Scars wako bize kupambania Saidio awe mfungaji bora.

Kazi ya Scars kwenye suala hili itakuwa ni kuchambua vifungu vya sheria kuhusu ufungaji bora ,Mhasibu mkuu atakuwa mwanaharakati wa kutembeza hashtags mitandaoni Saidoo apewe kiatu .Hii ndio furaha kubwa kwa Madundukaz.

Cc : Shadeeya
 
Hahahahaaa! Mimi ni nani hadi nikupinge Mkuu. 😂

Nakazia.
 
Takwimu zinaendelea kutia uchungu.
IMG_20230609_203446.jpg
 
Back
Top Bottom