adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Nakumbuka wewe ulikuwa Hater namba moja wa Mayele duniani, msimu ulioisha kila mechi Yanga alicheza unamsagia kunguni Mayele kwenye uzi mara ana bahatisha na chambuzi nyingine kibao kumchambua negatively .Lakini msimu huu umepoa na chambuzi zako kuhusu Mayele vipi umepewa bahasha nini tuambizane ..Ila we jamaa ndio umekosa aibu kabisa.
Yani wewe ni Mwigulu utofauti wenu utakuwa kwenye rangi ya tai tu lakini haya hamna