Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Sawa tumefungwa
Ila takwimu ziendelee
Mafuta na maji yameshajitenga. mayele ndio mfungaji bora Africa.

Sasa kitu cha ufungaji bora walazimishe tena kumpa George Mpole au wampe Kibu Denis, Mayele yupo levels za ufungaji bora Africa.

Nadhani hili ndio litawauma zaidi wakati Mayele anachukuwa kiatu cha dhahabu cha CAF.
 
Haitustuiiiiiiiii, ubingwa wa team ndo unauma, mafanikio binafsi sio kituu, akiondoka tunasahau.

Poleeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unapotoa takwimu unaweza kuonekana upo sahihi, ninaamini ukimwambia mwalimu wa simba pale yanga anamtamani mchezaji gani naamini hakosi kumtaja Mayele, na inawezekana mwalimu wa yanga asimtamani Kibu Denis.
Kabisa
 
Mwisho wa siku mwanzisha Uzi anaona aibu yeye mwenyewe. Japo anaweza akakomaa kujikakamua
 
Back
Top Bottom