Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

MVP .. haya yote tuliyaona kabla sisi watazama mbali!

Unalolote labda la kumwambia MVP wa NBC PL?
MVP wa mchongo, mchezaji ambaye amehusika kwenye mabao 20 anakuwaje MVP mbele ya mchezaji mwenye 31 goals involvement?

Una factor nyingine unayoweza kuiweka hapa inayoonesha Mayele amestahili kuwa MVP, tukaijadili?
 
Magoli hewa aliyokua anafunga Saidoo utayafananishaje na magoli zazi?

Magoli ya Mayele yameipa Yanga Ubingwa wa NBC PL
 
Saido alistahili kwanza kafunga magoli kwenye Club mbili tofauti.

Hiyo inaonesha uwezo binafsi aa mchezaji katika kufunga bila kutegemea Quality ya wachezaji wengine ambao watamsaidia kufanikisha lengo.

Mayele angecheza kwenye Club kama Geita asingeweza kutoka na magoli yale ambayo Saido alifunga.

Pili, Saido ni Attacking Midfielder. Hakai eneo la mwisho, huyu role yake ya kwanza ni ku supply mipira kwa Strikers hivyo kuona anakupa double profit hicho sio kitu kidogo.

Tatu ameonesha ni mchezaji ambaye anaweza kufunga katika mazingira yeyote, Mayele sijui kama alishawahi kupiga freekick.

Mayele penati tu ilimshinda.

Lakini Saido kaonesha makali kwenye kila department na tena kaimaliza eneo lake kaanza kutifua na kwenye maeneo ya Strikers ambapo huko sio kwake.
 
MVP wa mchongo, mchezaji ambaye amehusika kwenye mabao 20 anakuwaje MVP mbele ya mchezaji mwenye 31 goals involvement?

Una factor nyingine unayoweza kuiweka hapa inayoonesha Mayele amestahili kuwa MVP, tukaijadili?
Hayo magoli anafungwa polisi Tanzania iliyojishukia daraja 😂😂😂.
Mayele alivyomkeraji et tuzo akamwambia mkewe akazichukue 😭😭
 
Mayele hakucheza na Polisi Tanzania?

Mbona nyie mlipigwa na Ihefu kipindi ambacho ilikuwa kwenye nafasi ya chini kushuka daraja?
 
Back
Top Bottom