Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Active Mhariri Paw Moderator Mhariri Maxence Melo Boqin Cookie , inakuwa vipi mnafanya hujuma katika uzi huu na kubadilisha heading iliyodumu takribani mwaka mzima na kufuta post humu ?

Je uhuru wa maoni uko wapi wakati hatujaandika matusi wala kumshambulia mtu isipokuwa takwimu tu ?

Turudishieni heading yetu neno "Zingatia uchungu" liwepo maana huku ni kuondoa uhalisia la sivyo tutaamini kuwa hata mods mnapewa bahasha ..
 
Active Mhariri Paw Moderator Mhariri Maxence Melo Boqin Cookie , inakuwa vipi mnafanya hujuma katika uzi huu na kubadilisha heading iliyodumu takribani mwaka mzima na kufuta post humu ?

Je uhuru wa maoni uko wapi wakati hatujaandika matusi wala kumshambulia mtu isipokuwa takwimu tu ?

Turudishieni heading yetu neno "Zingatia uchungu "liwepo maana huku ni kuondoa uhalisia la sivyo tutaamini kuwa hata mods mnapewa bahasha ..
Hizi ni hujuma za wazi😎
 
Scars naomba utusaidie kutufikishia malalamiko yetu kwa mods kuhusu uzi wetu huu pendwa.
 
Active Mhariri Paw Moderator Mhariri Maxence Melo Boqin Cookie , inakuwa vipi mnafanya hujuma katika uzi huu na kubadilisha heading iliyodumu takribani mwaka mzima na kufuta post humu ?

Je uhuru wa maoni uko wapi wakati hatujaandika matusi wala kumshambulia mtu isipokuwa takwimu tu ?

Turudishieni heading yetu neno "Zingatia uchungu "liwepo maana huku ni kuondoa uhalisia la sivyo tutaamini kuwa hata mods mnapewa bahasha ..
Aisee mods wanatuhujumu
 
Isomeke "Takwimu za kibu vs Mayele zinatia uchungu"
 
Kweli aisee huu sio uhuru wa maoni Jf wanazingua sana.
Mods wana uhuni fulani hivi. Juzi nimeanzisha uzi wa Kibu, wakaattach picha yake bila idhini yangu.

Ila kuhusu title itakuwa mleta mada ameomba mwenyewe ibadilishwe na kama kuna post zimefutwa itakuwa wamefuta wahusika.
 
Active Mhariri Paw Moderator Mhariri Maxence Melo Boqin Cookie , inakuwa vipi mnafanya hujuma katika uzi huu na kubadilisha heading iliyodumu takribani mwaka mzima na kufuta post humu ?

Je uhuru wa maoni uko wapi wakati hatujaandika matusi wala kumshambulia mtu isipokuwa takwimu tu ?

Turudishieni heading yetu neno "Zingatia uchungu "liwepo maana huku ni kuondoa uhalisia la sivyo tutaamini kuwa hata mods mnapewa bahasha ..
Wewe si uliwaomba Mods wabadilishe hiyo title
 
Back
Top Bottom