ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Defensive striker [emoji23][emoji23]Kibu kwa sasa anafanya kazi aliyotumwa uwanjani ndiyo maana akiwa fit ana uhakika wa kuanza katika kikosi cha Simba. Hakuna mwanasimba au kocha wa Simba anayemlalamikia kwa kutofunga magoli maana hilo siyo jukumu lake la msingi.