Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Kwa kukumbushia tu chop aliyoifanya Kibu leo kwenye goli la pili la Baleke inafanana na chop ya goli la pili la jana la Liverpool la kusawazisha.
 
ni haki yako kikatiba
Ukipata nafasi angalia tena mechi na Raja kule Morocco halafu uniambie Denis Kibu ni mchezaji mbovu. Matter of fact, angalia game yoyote kati ya 10 zilizopita za Simba.

Katika vikosi vyote vya Simba na Yanga, naweza kusema ndiye mchezaji anayecheza mpira kwa usahihi sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…