Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
AiseeeeUzi wa pili kwa Umashuhuri Jukwaa la MICHEZO.
1. Uzi nambari moja ni ule wa Kubet japo sipendi ( Mimi si mfuasi WA kamali)
2. Takeimu za KIBU na Mayele zinatia Uchungu.
N:B.
KIBU HANA GARANTEE SI MCHEZAJI WA KUMUAMINI HATA KIDOGO HAAMINIKI.
I Anakaba sana
ii Anakimbia sana.
iii. Anapiga mashuti sana.
Iv .Ananguvu sana
V. Anapoteza MIPIRA mno (sana)
WORK DONE YA KIBU ALWAYZ =0.
Kufunga Magoli Huwa anabahatisha.
BadoTulikubaliana huu uzi tusicomment tena ikiwezekana ufutwe maana ushapoteza maana ukweli umeshajulikana sasa.
kibu jana amekiwasha sana,
mimi ukiniambia technically kati ya mayele vs kibu namchukua kibu mkandaji