Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Ningependa kuwaaga rasmi sitokuwa natoa updates tena katika huu uzi na najitoa rasmi kuanzia leo ,naona maji yameshajitenga na mafuta. Nachukua fursa kuomba radhi kama nilikwaza katika kipindi chote cha Takwimu.

Cc : OKW BOBAN SUNZU Shadeeya Tate Mkuu Dr Matola PhD kelphin
Kwa mweli nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kutupatia updates za mara kwa mara tangu uzi huu ulipoanzishwa!

Na mpaka sasa tayari mafuta yameshajitenga na maji! Hivyo nawashauri Moderator waufute tu huu uzi. Maana umekuwa outdated.

Lakini naamini pia mtoa mada amejifunza kitu. Wakati mwingine atapunguza mihemko na kukurupuka.
 
Ningependa kuwaaga rasmi sitokuwa natoa updates tena katika huu uzi na najitoa rasmi leo ,naona maji yameshajitenga na mafuta. Nachukua fursa kuomba radhi kama nilikwaza katika kipindi chote cha Takwimu.

Cc : OKW BOBAN SUNZU Shadeeya Tate Mkuu Dr Matola PhD kelphin
Hongera sana Mkuu kwa kazi nzito aliyokupatia mleta uzi nina imani kupitia huu uzi kuna mengi amejifunza.

Tuko pamoja Mkuu adriz 🤝🤝
 
Attachments

  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    FB_IMG_1685865513846.jpg
    74.9 KB · Views: 4
Kwa mweli nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kutupatia updates za mara kwa mara tangu uzi huu ulipoanzishwa!

Na mpaka sasa tayari mafuta yameshajitenga na maji! Hivyo nawashauri Moderator waufute tu huu uzi. Maana umekuwa outdated.

Lakini naamini pia mtoa mada amejifunza kitu. Wakati mwingine atapunguza mihemko na kukurupuka.
Kufutwa hapana. Huu Uzi utunzwe Kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo kwamba kuliwahi kuwa na Mwana JF mashuhuri akiitwa OKWI BOBAN SUNZU ambaye Kila alichotabiri kilikuja kinyume chake.
 
Kufutwa hapana. Huu Uzi utunzwe Kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo kwamba kuliwahi kuwa na Mwana JF mashuhuri akiitwa OKWI BOBAN SUNZU ambaye Kila alichotabiri kilikuja kinyume chake.

[emoji2957][emoji12][emoji13]
 
Uzi wa pili kwa Umashuhuri Jukwaa la MICHEZO.

1. Uzi nambari moja ni ule wa Kubet japo sipendi ( Mimi si mfuasi WA kamali)

2. Takeimu za KIBU na Mayele zinatia Uchungu.

N:B.
KIBU HANA GARANTEE SI MCHEZAJI WA KUMUAMINI HATA KIDOGO HAAMINIKI.
I Anakaba sana
ii Anakimbia sana.
iii. Anapiga mashuti sana.
Iv .Ananguvu sana
V. Anapoteza MIPIRA mno (sana)

WORK DONE YA KIBU ALWAYZ =0.
Kufunga Magoli Huwa anabahatisha.
 
leo nlikua nkiangalia marudio ya game yetu na simba nkakumbuka uzi huu
hakika mayele ni mwamba
ndugu yetu alianzisha vita akaambaa mwenyewe
kwa hakika ahsante MAYELE
Vipi ile ya KIBU D MKANDAJI nayo umepata muda wa kuiangalia au umeishia tu hiyo ya mayele ?
IMG-20230418-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom