Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Attachments

  • Screenshot_20230614-155917_Chrome.jpg
    Screenshot_20230614-155917_Chrome.jpg
    222.6 KB · Views: 8
Na tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa

Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.

Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki

Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
Na tukienda mbali zaidi...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kwako mtakwimu mkuu kelphin hebu tueleze kitaalam hili goli la Mayele alilowafunga Gabon linaitwaje?
Aaah nmeangalia comments kule yu tyubu
Naona mess anaseme atajaribu kufanya mazoezi ili ajaribu kufunga kama hili

Pia mbape anasema ameliweka gol hili kama wallpaper
Ronaldinho anasema watakaa kikao kuona namna gani watambadilishaje mayele kua mu brasil [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] jamaa akafuta Uzi lakini wapi
 
Back
Top Bottom