Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Huyu kibu anacheza sana mechi ndogondogo ambazo hazina pressure kabisa,umlinganishe na Mayele?
 
uyo mayele hata timu ya wiki hayupo
unakaza fuvu bure

View attachment 2059860
Hahahahaaa.Simba kazi mnayo,mtatengeneza na visivyoweza kutengenezeka.Mabingwa wa kutengeneza takwimu kusifia vibovu mlivyonavyo.Huyo Kibu Denis kwenye mechi ya Ngao ya jamii alikuwepo au hakuwepo? Kama alikuwepo alifanya nn? Narudia tena na tena Mayele anafunga Magoli magumu na mepesi.Kamwe Huwezi kumfananisha Mayele na Kibu Denis,Huwezi kufananisha Mbingu na Ardhi,Maji na mafuta.Muda unavyozidi kwenda ukweli utathibitika kwenye hili.Ukiwahoji mabeki wengi wa Bongo watakujibu ni rahisi kumkaba Kibu Denis kuliko Mayele,Mayele ni msumbufu ukabaji wake unahitaji maarifa zaidi kuliko nguvu.Beki kisiki wa Simba mzee Onyango anajua hili.Ni mshambuliaji ambaye anakupeleka puta muda wote ukizubaa kakuacha na kufanya mambo yake.Tuache ushabiki tuseme ukweli. Huyu Mayele Kashawafunga Simba kwenye mechi ya muhimu na kufanikisha Yanga kunyanyua kwapa.Niambie Kibu Denis wapi kafanya hivyo? Timu imeshashinda Magoli mawili,mpinzani ameshanyong'onyea na kukata tamaa yeye ndiyo anafunga goli na kufurahia utazania mfungwa wa kifungo Cha maisha ghafla apate msamaha wa kuachiwa huru.Ni suala la Muda tu ligi si inaendelea mtakuja kumkubali Mayele kama ni striker hatari hakuna wa kumfananisha nae hapa Bongo .
 
Wanajaribu kumpa promo Kibu ili aonekane ni mchezaji lakini kila mtu anajua kuwa ni garasa
 
umeandika uchafu mtupu 🚮🚮🚮🚮
nimeweka hapo kikosi cha wiki ligi za afrika kibu ndani ya nyumba uyo mayele wenu hayupo
uto bna
 
Wanajaribu kumpa promo Kibu ili aonekane ni mchezaji lakini kila mtu anajua kuwa ni garasa
ndio hata page ya africa soccer zone ni tawi la simba tumewalipa kumueka kibu kikosi cha wiki

 

Mmmmmm subiri usome namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…