Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
Iiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahWameanzisha uzi, halafu wameukimbia
Zinatia uchungu kweliView attachment 2058407
umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
anatakwimu nzuri kuliko mayele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kibu kila akigusa mpira anaanguka, sijui ana shida gani huyu mwamba
Aibu zingine za kujitakiaMwenye uzi huwezi muona tena huku
hahahaha.dahAibu zingine za kujitakia
🥵🥵🥵😬😬😬😬😬😫😫😫😫Na tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa
Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.
Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki
Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.