Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Takwimu zinatia uchungu sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayele jana kaongeza assist kwa hiyo bado takwimu zinaendelea..jaman jaman
mzee naona musonda ume mu appreciate eTakwimu Zinazidi Kutia Uchungu [emoji23][emoji23][emoji23]
Goal la Kibu umelionea wapi mwenzetu?kibu kafunga 1 leo, tusiongee sana
Si tulikubaliana kuwa hakuna kucomment humu mpaka kuwe na update mpya(Kibu au Mayele wahusike kwenye magoli) ? sasa mbona umepost humu au Kibu jana katupia na kuassist ?Zinatia uchungu[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
Mayele kashafanya yake huko.Si tulikubaliana kuwa hakuna kucomment humu mpaka kuwe na update mpya(Kibu au Mayele wahusike kwenye magoli) ? sasa mbona umepost humu au Kibu jana katupia na kuassist ?