Takwimu za Prince Dube striker mpya wa Yanga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20240707_145714_Chrome.jpg

Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu 🇹
🗓️ 04 Misimu
⚽️ 34 Mabao

Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi

My Take
Dube kapendeza sana jezi ya Yanga
 
Muhasibu uzi wako umeuandika kwa staha sana.

Sio kawaida yako.

Au unaogopa mambo yata back fire?
Leo amekuwa fair

Hataki kuandaa uchambuzi wa Kihasibu leo 😜

By the way nimeona sehemu kwamba Simba tunamleta Mayele kama namba 9 wetu hivi karibuni.

Ngoja nimpigie Mjukuu wangu Nifah athibitishe undani wa hii taarifa
 
Babu mbona hilo nilishaliongelea sehemu tena zamani sana kuna watu wakanipinga sikumbuki ni kwenye thread ipi, ila Mayele Simba wanamuhitaji.

Watamsajili au lah tusubiri tuone, nakuongezea na Feisal usishangae akimwaga wino msimbazi.
 
Sijui kwa nini ila nikionaga huu muandiko wako huwa kama huyu muandishi namjua vile. 🤣🤣🤣🤣

Teh teh.
 
Babu mbona hilo nilishaliongelea sehemu tena zamani sana kuna watu wakanipinga sikumbuki ni kwenye thread ipi, ila Mayele Simba wanamuhitaji.

Watamsajili au lah tusubiri tuone, nakuongezea na Feisal usishangae akimwaga wino msimbazi.
Nitafurahi hizi habari zikiwa za kweli, maana hii Miaka mitatu ya ninyi kutamba na kubeba vikombe mfululizo kumefanya nipungue kilo 15

Yaani wastani wa kupoteza kilo 5 Kila mnavyobeba Kombe 🙌

Imagine na mwakani mkibeba, si nitaisha Babu yenu Kwa kukonda😜
 
We babu isheni tu wewe na mkweo, mmeyataka mwenyewe hamkutumwa kuwa makolo 😂
 
Kumbe Mimi na Mkwe wangu tuna bahati mbaya.

Hata Bibi yako nyumbani ni Pure Yanga wakati huo Mimi nipo Msimbazi.

Mwaka 47 niliwahi kutafuta dogodogo mmoja ili kubalance mzani, Unlucky me, naye akawa ni Yanga Lia lia 🙌

Nikaamini kweli kimfaacho mtu Chake 😅🤗
 
Huu ujinga wako peleka kule selfika dogo.
 
Back
Top Bottom